Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Maua kazi kwako mume huyo achana na matapeli wa ajira mtandaoni 🤣🤣🤣Siwezi achilia hii imeenda asee.
Unique Flower Mungu kajibu maombi yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maua kazi kwako mume huyo achana na matapeli wa ajira mtandaoni 🤣🤣🤣Siwezi achilia hii imeenda asee.
MI nakupenda tu Faiza, hata unitukane, nakuzimia mbaya yani.Watu wenye fikra kama zako mara nyingi huwa ni mashoga.
Kipi umejua Mkuu?Nilitaka kujua hilo! Sasa umenifunulia
Lazima mle pilau na vyoda.Maua kazi kwako mume huyo achana na matapeli wa ajira mtandaoni 🤣🤣🤣
Unique Flower Mungu kajibu maombi yako
Harusi tunayo kaka aririrrrrriiiii 😍😍😍😢Lazima mle pilau na vyoda.
Hapana mwaya ujue why ni hawapo serious nitakuambiaga tu ipo sikuMaua kazi kwako mume huyo achana na matapeli wa ajira mtandaoni 🤣🤣🤣
Unique Flower Mungu kajibu maombi yako
MhmHapana mwaya ujue why ni hawapo serious nitakuambiaga tu ipo siku
Of couse my dear utajua hata wewe ikifika muda huo wakuambiwa humu hamna userious wa mtu uliyenaye while huyo anadhani upo
Sio kwel inategemea ntu na ntu.Of couse my dear utajua hata wewe ikifika muda huo wakuambiwa humu hamna userious wa mtu uliyenaye while huyo anadhani upo
Haya mwaya mauaHapana mwaya ujue why ni hawapo serious nitakuambiaga tu ipo siku
Poa Mzima FlowerMamboo
Kabisa jf saivi haina hata jipya!Kweli aisee hata kuingia jf tena naona hakuna jipya
Hapa kaniambia ingia
Dah wote walikula mzigo, wallah kuna madada wametumika vibayaWajanja wa mji hoyee,
Nadhani kila mmoja wenu yupo sawa na mambo yake, .
Mnamo 2019 nilianza kutafuta mwenzi wa maisha yangu waswahili wanasema huba la moyo .
Nilipata mwanaume sio single ila alitaka niwe mke 2 nikaona hapana na ndio mwisho wa mawasiliano pale nilipokataa.
Wakaendelea kuja wengi tu ila nikuchart inbox pekee au wtsupp.
Walitokea watu kadhaa ila kila anayekuja anakisanga chake.
Kuna wanaoomba vocha , hela ya kula na mengine mengi . Ikiwemo umfanyie mtu shopping za hapa na pale . Mtu unamwambua sina pesa nashida ila u akuta hawajali wanasema tu naomba hili au lile Ili hali na waeleza mie natafuta kazi . Maisha yaliendelea mpaka 2021 nikapata mlokole nilimshukuru Mungu kweli kwa yote . Eti kuna alilonionekania sasa mie nilijiona wapekee kumbe nipo kichakani na gizani.
Jingine ni hili eti mtu ukiongea naye mchana ijioni unaota , upo kwenye kanisa la ajabu , . Lakilokole kuna kwaya mimbara na waumini sasa nikaona mie ndio kama sadaka .
Mwanzo nilidhani ndoto ila nilipowashirikisha marafiki wakanitatulia natukaja jua kuwa huyu kaka ni freemanson tokea ni mgundue akawa anavisa sana . Hataki niwe naye tena . Ikawa ndio kwisha.
Mwingine alimdanganya hadi bi mkubwa kuwa atakuja nyumbani kuongea naye kuhusu sisi kuishi pamoja . Alikuwa jamaa liongo hilo mpaka nikamzoea nilifiti nilimbwa. Aliniabisha kweli nilimpenda naye ila huyo hakujua anachart na unique flower . Ndio ilipotimia 2022 ndio nikaona mmh nikajaribu nje.
Ya hapa. Ila humu sasa kuna watu wanaojiona wanaweza sasa kuweza kwenyewe
Kuharibia watu humu . Ili wasisaidiwe hawajui hatunashida na misaada mimi sio mpalestina na mshukuru Mungu kwa yote . Anayenipa uhai na ananipenda. Hii inatosha
ChaiWajanja wa mji hoyee,

Sana tuu waliichapa kama ya gigy money style kama zote