Experience yangu na wanawake wanaoitwa jina Flora

Experience yangu na wanawake wanaoitwa jina Flora

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Akina Flora wengi wanakuwaga wapiganaji sana kwenye maisha.

Wengi wanakuwaga smart sana kwenye mapambano ya maisha.

Na wengi wao huwa wanafanikiwa sana kiuchumi.

Sijawahi kumfahamu mwanamke anae itwa Flora ambae sio mpiganaji kwenye maisha.
 
Na ladha zao zinakuaje
 
Believe me! Hakunaga Flora fala fala.
Unajua kitu wana saikolojia wanaita confirmation bias? Ndicho kilichokufanya ufikie hii conclusion. Ndiyo maana wataalam wanasema no reserch, no right to talk. Kwa kifupi confirmation bias ni hali ya kufikia hitimisho kwa kutumia imani ambayo tayari ulikuwa nayo, na hii inatokea bila wewe kujua. Na ziko za aina nyingi. Ukitaka kujua zaidi ingia kwenye hii link usome
 
Duuu!! Aisee hii mada mbona inamhusu mke wangu?
Mke wangu anaitwa flora alafu ni mpambanaji kwelikweli biashara zangu zote nimempa mamlaka ya kisimamia na anajua jinsi ya kupambana na wauzaji pamoja kusimamia oda zote za maduka ikiwemo kusave data zote za mizigo...
LIKUD utakuwa nabii nini
 
Wacha nikupe namba utoe ya kujimaliza🤣🤣🤣

Akina Flora wapo smart sana. Usimuache huyo . Utafanikiwa sana ukiwa nae.

Sema napokea
 
Back
Top Bottom