ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
AsanteJaguar
Arrow
Kuna vingine siku hizi vimeyumba mkuu, ukiweka pimamaji umakuta kingo zake haziumani na tiles,Vyoo vya kuchuchumaa karibia vyote vinalingana ubora , vya kukaa ndo unatakiwa umakini kwenye kuchagua , kuna ambavyo vinatumia maji kidogo n.k
Asante, nafunga Uzi nimenunua Arrow , vya kuchuchumaa japo bei ni imechangamka kweli kwwliJaguar
Arrow
ArrowKwanza marhaba wadogo zangu, Mimi ndo nimefika stegi ya kuweka vyoo, Sasa nimefika juzi madukani nimekutana na kampuni kama 30 hivi brand mbalimbali, wote wakiuza vyoo, Sasa katika kupagawa nikashindwa ninunue vya kampuni gani .
Nikasema kwakuwa jamii forum Kuna jukwaa ambalo wapo watu wamesomea haya mambo basi Nije kuuliza, hivyo naomba msaada wa kujua ni kampuni gani inavyoo vizuri na imara,
Asante sanaArrow
Castleware
Jaquar
Bobo
Karibu Kwa ushauri zaidi!
Kwanza marhaba wadogo zangu, Mimi ndo nimefika stegi ya kuweka vyoo, Sasa nimefika juzi madukani nimekutana na kampuni kama 30 hivi brand mbalimbali, wote wakiuza vyoo, Sasa katika kupagawa nikashindwa ninunue vya kampuni gani .
Nikasema kwakuwa jamii forum Kuna jukwaa ambalo wapo watu wamesomea haya mambo basi Nije kuuliza, hivyo naomba msaada wa kujua ni kampuni gani inavyoo vizuri na imara,