Export to Kenya From Tanzania

Export to Kenya From Tanzania

Mimi ninawajua watanzania watatu, ambao walikua wanafanya biashara za kupeleka bidhaa Kenya, wameuliwa kwasababu ya kudai pesa zao.

Kwa ujumla wakenya sio watu wa kuwaamini kabisa katika suala zima la pesa, ni watu wenye tamaa sana ya pesa. Sisemi kwamba hakuna biashara inayofanyika, lakini ni miongoni mwa nchi hatari sana, kama kuna " alternatives ", bora kufikiria nchi zingine. Kama mtu ataamua kufanya biashara Kenya, lazima ajue kwamba maisha yake yako hatarini sana.

Wewe ulieishi miaka 30 tu hapa duniani?

Mimi sijazaliwa,nimezaliwa na nitakufa hizi jamii zitaendelea kufanya biashara!

Wanafanya haya generations na generations,mimi nimeyakuta,nikafanya,na tutaondoka biashara itaendelea!

Hao walikufa mazingira gani?Huenda pia ikawa uongo au kweli vilevile,who knows?

Nisifanye biashara kwavile fulani alikufa?
 
Hataki mwenzake apate utajiri kwa kumtisha kwamba atauawa.
 
So hapo kama tuna+import bidhaa kutoka Tz worth $793m mbona mnamkwamisha Mtanzania mwenzenu kunufaika humo, nyie mna roho za kishetani na kuoneana wivu, acheni mwenzenu afaulu kutoka, yeye kaamua kufanya la maana hajiungi kwenye lile kundi lenu la omba omba waliojazana huku.
Uzi kama huu ungemnufaisha huyo na wengine wenye kuthubutu, ama kwa kweli adui mkubwa wa Watanzania ni Watanzania wenyewe, roho nyeusi hata kumzidi shetani.
Ninyi mliopo huko mpokeeni, ninyi ndio wa kujibu swali lake.
 
Wewe ulieishi miaka 30 tu hapa duniani?

Mimi sijazaliwa,nimezaliwa na nitakufa hizi jamii zitaendelea kufanya biashara!

Wanafanya haya generations na generations,mimi nimeyakuta,nikafanya,na tutaondoka biashara itaendelea!

Hao walikufa mazingira gani?Huenda pia ikawa uongo au kweli vilevile,who knows?

Nisifanye biashara kwavile fulani alikufa?
Kama utasoma mwisho wa hiyo post yangu, nimezungumza vitu viwili.

1) Kama kuna nchi mbadala, ni vizuri kufikiria hiyo nchi nyengine na kuachana kabisa na Kenya, ila kama hakuna jinsi, basi aende huko Kenya.

Kumbuka biashara na South Afrika ilikua ikifanyika kwa muda mrefu, ila hali ya usalama imeendelea kuzorota ktk miaka ya karibuni, ni mtu mjinga pekee ambaye ataendelea kwenda South Africa eti kwasababu biashara imefanyika kwa muda mrefu.

2) Kama ataamua kwenda Kenya, basi lazima ajue kwamba maisha yake yapo hatarini sana, lazima achukue taadhari kubwa sana.
 
Ninyi mliopo huko mpokeeni, ninyi ndio wa kujibu swali lake.

Wenye uzoefu wa kutuma hizo bidhaa za $793m watakua na full information ya vigezo vyote wanavyotakiwa kukidhi.
 
Kama utasoma mwisho wa hiyo post yangu, nimezungumza vitu viwili.

1) Kama kuna nchi mbadala, ni vizuri kufikiria hiyo nchi nyengine na kuachana kabisa na Kenya, ila kama hakuna jinsi, basi aende huko Kenya.

Kumbuka biashara na South Afrika ilikua ikifanyika kwa muda mrefu, ila hali ya usalama imeendelea kuzorota ktk miaka ya karibuni, ni mtu mjinga pekee ambaye ataendelea kwenda South Africa eti kwasababu biashara imefanyika kwa muda mrefu.

2) Kama ataamua kwenda Kenya, basi lazima ajue kwamba maisha yake yapo hatarini sana, lazima achukue taadhari kubwa sana.

Unakaa hapa unatanua mdomo kudai watu wasiende South Africa eti sababu uliyotoa ni hali ya usalama!?

Na hiyo ni sababu inayo apply kwa biashara zote unazofikiria wewe?

Plus South Africa ipo SADC kuna punguzo la manunuzi ndani ya SADC hata hujui hilo!

Bei ya mzigo ndani ya SA ni cheapest hakuna mpumbavu SADC yote hii anaweza shindana na price pale!

Mkuu mpaka amefikiria Kenya kuna hesabu zake kapiga!

Mimi nimezaliwa mpakani naona biashara na Kenya ilivyo!

Aina za biashara zinabadilika kwendana na wakati mbalimbali!

Ila biashara ipo safe na Kenya,sana tu kwa upande wa ninapotoka!

Unampeleka Zambia au Malawi ushapigia logistics za alipo huyo mtu na huo umbali unaosemea???

Na bei ya mzigo maeneo hayo unashindana na price ndani ya Kenya mzee au unaongea tu!?

Nilichokushangaa umekuja na sababu mufilisi sana eti Kenya “wanaua” watu ndio sababu!

Nikakujibu sio kweli maana ninatoka mpakani na ninaishi nao na nina descendants pande zote mbili miaka na miaka sijaona mauaji level ya savage unayodai hapa!

Kungekua na hayo mauaji unayodai kila Mtanzania angejua especially mimi ninaetoka hapo ningekua najua vizuri hiyo threat ya mauaji!
 
Kwahiyo kwasababu bei ni ndogo huko SADC basi watu waendelee kwenda bila kujali usalama wao?.

Kwasababu wewe unakaa mpakani lazima unajua kula kitu kuhusu biashara na Kenya?. Mimi nimemueleza uzoefu wangu, wewe unapaswa kumuekeza uzoefu wangu, sio kunipinga, inawezekana sote tuko sawa au tunakosea kiasi Fulani, ni jukumu lake kuchuja na kufikia maamuzi.

Lakini kama hata vyombo vya kimataifa vinaiweka Kenya miongoni mwa nchi zenye usalama mdogo, wewe uzoefu wako hauwezi kupingana na dunia nzima.
 
Kwahiyo watu wote wakienda SA wanauawa?

Mbona unakua liongo liongo namna hiyo?

Au una confuse xenophobia iliyotokea spontaneously kwenye mitaa mitatu kwenye mji mmoja wa Jo’burg ndio una generalize all the way through?

You are talking as if SA watu wanapigana mapanga from street A to street Z from North to South ,East to West of SA!

Wewe umetoa sababu ya kipumbavu eti Watanzania wanauawa Kenya,which is a lie si kweli!

Uzoefu wako ambao Watanzania 3 wameuawa?Unaweza kutupatia links ya hizo habari kama proof?

Mimi nimetoka mpakani nakupa uzoefu wangu na wa jamii yangu toka kwa enzi na enzi za mababu zangu wamefanya biashara all the way na mpaka leo bidhaa mbalimbali!

Mimi kukaa mpakani ni mdau na nakupa perspective ya hapa!

Tunavyoenda ni as if wewe una element za uongo uongo!

I’m sorry to say that!
 
Finished goods za aina gani? Ainisha tafadhari
Wadau

Mbarikiwe nyote siku ya leo takafifu.

Nina mipango ya ku Export bidhaa kutoka Dar kwenda Nairobi. Bidhaa zenyewe ni Finished Goods.

Naomba mwenye kujua taratibu za kufanya Export na kodi zinazohusika katika mchakato mzima.

Nitashukuru sana kupata miongozo yenu.
 
Kwahiyo watu wote wakienda SA wanauawa?

Mbona unakua liongo liongo namna hiyo?

Au una confuse xenophobia iliyotokea spontaneously kwenye mitaa mitatu kwenye mji mmoja wa Jo’burg ndio una generalize all the way through?

You are talking as if SA watu wanapigana mapanga from street A to street Z from North to South ,East to West of SA!

Wewe umetoa sababu ya kipumbavu eti Watanzania wanauawa Kenya,which is a lie si kweli!

Uzoefu wako ambao Watanzania 3 wameuawa?Unaweza kutupatia links ya hizo habari kama proof?

Mimi nimetoka mpakani nakupa uzoefu wangu na wa jamii yangu toka kwa enzi na enzi za mababu zangu wamefanya biashara all the way na mpaka leo bidhaa mbalimbali!

Mimi kukaa mpakani ni mdau na nakupa perspective ya hapa!

Tunavyoenda ni as if wewe una element za uongo uongo!

I’m sorry to say that!
Wewe ni miongoni mwa watu wajinga sana hapa duniani.

South Afrika kuna matatizo ya wageni kushambuliwa, japo sio nchi nzima, lakini kila mgeni lazima achukue tahadhari, uwezi kujua kama inaweza kutokea kwako.

Hivi wakati nchi za Afrika zimeanza kuwaomba wananchi wao kuchukua tahadhari na wengine kurudisha raia wao nyumbani unadhani ni wajinga?. Jana rais Ramaphosa ameomba msamaha kufuatia hayo mauaji, na ametuma tume maalumu kuzunguka Afrika nzima ili kuwahakikishia waafrika usalama wao, wewe unaona ni jambo dogo?

Kitu kinachonishangaza na kukuona kwamba wewe ni poyoyo na huna akili ni pale unapojiona wewe unayekaa mpakani unajua zaidi hali ya usalama ya Kenya kuliko "International community" ambayo inatumia " scientific means" za kukusanya taarifa.

Nikuulize kitu kimoja, wewe kama unaishi Rombo, au hapo Holili, je unajua kinachotokea Kisumu, Turkana, Karicho au mpaka wa Kenya na Uganda?. Acha kuzungumza vitu kama umevuta bangi.
 
Usijaribu hata kidogo kufanya biashara na wakenya. Niwezi tena wapotayari kukuua.
Nipoa na list ya wakenya wengi tu wamewatapeli watanzania. Ninaweza kuwataja hata majina yao hapa.
Fikiria kufanya biashara kwenye ujanda wa SADC, Burundi, Rwanda, Uganda, S. Sudan nk. Na siyo kenya.
That's why you'll always remain p00r
 
Ni sawa ni wambie wafanyibiashara wa kenya wasiende bongo kuanzisha biashara kisa watu hko hutekwa..
Huyu jamaa akili zake chenga kabisa
Kwahiyo watu wote wakienda SA wanauawa?

Mbona unakua liongo liongo namna hiyo?

Au una confuse xenophobia iliyotokea spontaneously kwenye mitaa mitatu kwenye mji mmoja wa Jo’burg ndio una generalize all the way through?

You are talking as if SA watu wanapigana mapanga from street A to street Z from North to South ,East to West of SA!

Wewe umetoa sababu ya kipumbavu eti Watanzania wanauawa Kenya,which is a lie si kweli!

Uzoefu wako ambao Watanzania 3 wameuawa?Unaweza kutupatia links ya hizo habari kama proof?

Mimi nimetoka mpakani nakupa uzoefu wangu na wa jamii yangu toka kwa enzi na enzi za mababu zangu wamefanya biashara all the way na mpaka leo bidhaa mbalimbali!

Mimi kukaa mpakani ni mdau na nakupa perspective ya hapa!

Tunavyoenda ni as if wewe una element za uongo uongo!

I’m sorry to say that!
 
Wewe ni miongoni mwa watu wajinga sana hapa duniani.

South Afrika kuna matatizo ya wageni kushambuliwa, japo sio nchi nzima, lakini kila mgeni lazima achukue tahadhari, uwezi kujua kama inaweza kutokea kwako.

Hivi wakati nchi za Afrika zimeanza kuwaomba wananchi wao kuchukua tahadhari na wengine kurudisha raia wao nyumbani unadhani ni wajinga?. Jana rais Ramaphosa ameomba msamaha kufuatia hayo mauaji, na ametuma tume maalumu kuzunguka Afrika nzima ili kuwahakikishia waafrika usalama wao, wewe unaona ni jambo dogo?

Kitu kinachonishangaza na kukuona kwamba wewe ni poyoyo na huna akili ni pale unapojiona wewe unayekaa mpakani unajua zaidi hali ya usalama ya Kenya kuliko "International community" ambayo inatumia " scientific means" za kukusanya taarifa.

Nikuulize kitu kimoja, wewe kama unaishi Rombo, au hapo Holili, je unajua kinachotokea Kisumu, Turkana, Karicho au mpaka wa Kenya na Uganda?. Acha kuzungumza vitu kama umevuta bangi.

Kwanza mtu unaetumia Kiswahili cha “poyoyo” ni bogus to begin with!

Mimi niko mpaka wa Holili,natoa perspective yangu kwa Kenya kwa upande huo!

Huko Kisumu,Namanga wa huko watakupa perspective za huko,ila zote mi connected na Tepublic of Kenya!

Ila acha maneno miiingiii,taja au weka links za hao Watzania waliouwawa huko Kenya!

Eti “scientific means” na eti “international community”...

Bro acha kuzunguka mbuyu unataja maneno ya Kiingereza randomly ili uonekane una akili ila ukweli unaficha your ignorance!

Xenophobia ya SA unaiongelea as if kuna watu wote wameuawa!

Yaani ni as if Ukitua tu uwanja wa Oliver Tambo unapigwa panga.Dogo hujui lolote unaongea kwa mzuka!

Mambo mengine ya kujishaua na kujifanya unajua sana ni all smokes screens tu kuficha your ignorance!

Tatizo ulidhani utatoa generic statements bila kupewa upinzani,sasa umekua challenged umepaniki!

Relax,kubali challenge na pangua hizo challenges!

Maana umetoa statements zisizo za kweli eti Kenya Watanzania wanauawa nikaomba links za hao watu watatu waliouawa ku-support your ridiculous claims!
 
Tanzania tulipozua ndege zetu kwenda South Africa kwasababu kuna fujo, kwanini hukutumia hiyo reasoning yako kuwa " challenge"?. DRC kuna outbreak ya Ebola, wageni wanashauriwa kutokwenda DRC, kwani nchi nzima ya DRC imekumbwa na EBOLA?.

Wewe umetoa uzoefu wako kutoka eneo unaloishi, hiyo haina maana kwamba Kenya nzima ipo hivyo, na Mimi nimetoa maoni yangu kutokana na uzoefu wangu nilipotembelea Kenya, vipi unakataa nisitoe uzoefu wangu eti kwasababu sikai mpakani.

Wewe weka link inayopnyesha unakaa mpakani na unafanya biashara miaka mingi na Kenya na hakuna tatizo lolote. Watu wa aina yako ni wale wanaodhani dunia nzima inamzunguka yeye, kwamba uzoefu wake ndio kila kitu hakuna zaidi yake, kama yeye ni masikini, basi watu wote ni masikini
 
Naona kuna mtu amelishwa za uso kwenye hii thread. Siku hizi anaparamiwa mpaka na Watanzania wenzake. Asante Wyatt Mathewson kwa kuongea ukweli na kumweka sawa.
 
Hahahaha, ninajua ukisoma posts zangu na zake unaona wazi kwamba kuna tofauti kubwa ya uwezo wa kujenga hoja. " The density is obvious". Ila kwasababu hapa kwenye mjadala hatubagui, inabidi kumjibu kila mtu.
 
Stupid as usual. Tanzania tulipozua ndege zetu kwenda South Africa kwasababu kuna fujo, kwanini hukutumia hiyo reasoning yako kuwa " challenge"?. DRC kuna outbreak ya Ebola, wageni wanashauriwa kutokwenda DRC, kwani nchi nzima ya DRC imekumbwa na EBOLA?.

Wewe umetoa uzoefu wako kutoka eneo unaloishi, hiyo haina maana kwamba Kenya nzima ipo hivyo, na Mimi nimetoa maoni yangu kutokana na uzoefu wangu nilipotembelea Kenya, vipi unakataa nisitoe uzoefu wangu eti kwasababu sikai mpakani.

Wewe weka link inayopnyesha unakaa mpakani na unafanya biashara miaka mingi na Kenya na hakuna tatizo lolote. Watu wa aina yako ni wale wanaodhani dunia nzima inamzunguka yeye, kwamba uzoefu wake ndio kila kitu hakuna zaidi yake, kama yeye ni masikini, basi watu wote ni masikini, stupid.

Naona una run circles na hoja za deductions!

Kwahiyo umeona ndege uchwara za TZ walipojifanya eti hawaendi SA sababu kuna Xenophobia ni sababu za kweli?

Ile ni gagari and everybody knows tatizo lao ni nini!Ni deni lao na mkulima angeweza weka injunction akachukua tena ndege!

Na believe me,hakuna tena ndege ya TZ itakatiza SA forever mpaka walimpe mkulima kwanza.Hatari ya seizure ni eminent!

Unakataa hapa unatuletea maneno ya hovyo ya wanasiasa wa CCM as if ni reasons za kweli!

Mtanzania muongo ndio yupo kama wewe.

Umeambiwa uweke link ya claims zako,then unageuka kinyume unamuuliza huyo huyo aliekuuliza aweke evidence eti anakaa mpakani,nikutumie geolocation au title deed ya shamba letu au nini hasa?

Badala ujibu ulichoulizwa ukimaliza ndio uulize swali lako,wewe unauliza swali kwa swali tena la hovyo!

Swali lako ni la hovyo sababu tangu lini mtu anaweka evidence ya link kudhibitisha anapokaa?Link ya web page?Tangu lini ndugu yangu?

Idadi ya vifo ya Watanzania watatu au zaidi ni lazima iwe news,niwekee link,kama huna sema sina sio una counter kwa maswali ya hovyo badala ya kujibu kwanza!

Sema hivi,sina jibu wala links za hizo news za vifo!Utaeleweka bila shida!

Nani kakwambia DRC watu hawaendi?

Watu wanaenda DRC kama kawaida na SA watu wanaenda kama kawaida na Mtanzania SA hahitaji visa hata hilo hukijui!

Uzoefu wako unaotoa nina wasiwasi unadanganya!

Kwa stori ya mauaji ni lazima ingekua news,Kenya kuna journalism sio kama huku kwetu!

Na unaposema eti mpakani kwangu mimi sio Kenya yote ni sawa,ila pia ni Kenya sio Somalia au pengine!
Na pia wewe experience yako sijaikataa.Ninachotaka kwa nature ya unacho claim ni news worthy,tupe link kama unayo!

Watu watatu ni wengi possibly ni kazima kungekua na news somewhere,tupe link kama huna ni sawa pia!

Kama huna evidence ni sawa tuta judge wenyewe vichwani mwetu kama unachosema ni kweli au sio kweli huna haja ya kupaniki!

Unapaniki kiasi kwamba unataka niweke eti evidence natoka mpakani au eti naijua Kenya!

What type of evidence unayotaka?Eti web page link,nigga be serious!
 
Umekua mpiga ramli sio?, kwamba ndege hazitienda South Afrika hadi walipe deni. Nikuulize swali, hivi deni la bilioni 10 za kitanzania ndio linaweza kusitisha safari za ndege zenye kutengeneza faida ya hiyo bilioni 10 kwa miezi mitatu tu ya hiyo route?.

Kuhusu kwenda DRC, nani amekuambia watu hawaendi huko, lakini ni muhimu nchi kutoa tahadhari kwa raia wake, kama ambavyo nimempa tahadhari huyo muuliza swali, kwamba kama ataamua kwenda basi ajue kuna hilo tatizo na achukue tahadhari.

Nani asiyejua kwamba kuna UKIMWI na tahadhari zinatolewa lakini bado kuna watu vichwangumu kama wewe wanaendelea kutiana bila kondomu?, lakini hiyo haina maana kwamba watu wasipewe tahadhari eti sio watu wote wenye UKIMWI.

Kitu ninachokiona hapa ni kwamba uwezo wako wa kujenga hoja ni mdogo sana, Mimi niliposema ninawajua watu watatu waliouliwa Kenya kwasababu ya kudai pesa zao, sikusema waliuliwa wote siku moja, tena wakati huo huo, kama ingetokea hivyo, tena sehemu za mijini ambako kuna vyombo vya habari ndio ungeuliza kuhusu links, kama ni tukio moja moja tena linatokea vijijini wakidaiana, tena watu wadogo kama wewe wakikuchinja huko porini, hivi ni chombo gani cha habari kitajisumbua kuandika taarifa zako wewe peke yako mtu ambaye huna umuhimu wowote katika jamii?.

Usiulize kupewa haki kabla ya wewe kutoa haki, Mimi nimekuambia kuhusu uzoefu wangu wa Kenya, kwanini unaomba links za uzoefu wangu, lakini unahisi wewe hupaswi kutoa link za uzoefu wako?.unahisi uzoefu wako haupaswi kutoa ushahidi, lakini unataka tukuamini, ila Mimi sipaswi kuzungumza mipaka nitoe ushahidi. Stupid
 
Mpatie links ya vifo tatu ulivio kua unasema,mengine ni porojo......kazi yako nikuropokwa bila evidence maneno ambayo sio ya kweli
 
Back
Top Bottom