Exposure ya Diamond ni ndogo, anahisi hapa Tanzania ana pesa nyingi, kumbe kuna watu

Huyo Tedd Boehly kamwaga paundi bilioni moja kwenye dirisha moja tu la usajili, na kama sio sheria zao za FFP angemwaga bilioni moja nyingine dirisha lililopita, kuna watu wana mipesa mpaka wanatamani kuitupa mbali.
 
Povu la nini
Amezuiliwa kuota?
Kwani kuwa na ndoto kunahitaji exposure?
Huu ni ubongo wa kuku kama sio panzi
 
Mwambie ahame kwanza lile gorofa la kupanga mbezi.
 
Hili neno 'exposure' linachezewa sana kwani lina maana gani hasa?
Kusafiri nje ya nchi hasa Ulaya, Marekani na Australia. Na kupiga picha na kuposti umevaa Adidas au Nike huku umeshika iPhone.

Juz nilivypost video mwijaku akijiabisha NY members walinicheka sana simu yangu nikawashangaa sana thed weld dwellers laiti wangejuwa.

gammaparticles
 
nAhis alikuwa kalewa
 
saivi nikiona mtu anapenda kusema exposure najua atakuwa na ushamba
 
Tatizo watanzania wanapenda kuongopewa. Wanasiasa na manabii feki hujipigia hela kwa huu ujinga uliopo. Diamond karopoka hadharani lazima akosolewe hadharani. Unataka kuwa tajiri namba 1 halafu unanunua rolls royce ya 2b huku ukiishi nyumba ya kupanga? Aache upumbavu aisee. Hao walioko kwenye top ten wamefanya vitu vya kipekee sana kuwa pale walipo.. kikawaida ni ngumu sana. Kuna watu kama kina Asas, Gsm, Oveland (Awadh) wametandaza malori kutoka Tunduma hadi Dar na hawatajwi hata top 5 ya matajiri hapa nchini.
 
Tz hapa matajiri wanaomiliki Billion tano tano hadi 10 ni wa kumwaga lakini bado tunawaona wananyenyekea kwa watu flan flan kwahiyo ni dhahiri kibongo bongo matajiri wakubwa ni wengi ila hawafahamiki
Anatakiwa achuane nao kwanza ili aanze na kuwa tajiri namba 1 Tz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…