Exposure ya Diamond ni ndogo, anahisi hapa Tanzania ana pesa nyingi, kumbe kuna watu

There's no limit to dreaming... Ukiona mtoto anaendesha ndege na ukamuulza anataman kuwa Nani "akijibu anataka kumiliki airline hupaswi Mkatalia"
 
Aisee !!!

Truth be told katika watu ambao wame make it Diamond yumo ; Achana na zile za mali za baba yako au ufisadi serikalini hii ni self made AKA rags to riches stories..

Kwahio KUDOS kwa dogo na vijana wengine kama yeye..., Hata akisema ana pesa nyingi huenda kasema hivyo ili wewe na wengine muongee na hivyo kukaa kwenye public minds (celebrity thrives in publicity)

That said kwa dogo kama huyo Who am I to Question his Financial Prowess ? Tena bora huyu dogo Self Made kuliko kina Trump matapeli wanaotumia janja, janja na utapeli wa hapa na pale kupiga pesa as well as building themselves up beyond their Capacity
 
We nae, haturuhusiwi kuota siku hizi? Ndoto zinatimia ukiamka ukaifanyia kazi. Usipopata exactly utakaribiana na ukweli.

Mfano mi nishaanza kuota nyumba kama ya Billnas na mkewe, ila iwe ndogo ndogo!

Ayeee!
Hiyo unaweza kutimiza kabisa tena hata usiseme ndoto sema malengo

Ila kuna mambo kama Tajiri namba 1 Duniani inatakiwa kweli uanze na neno ndoto kama kina Jay Z na pesa yote aliyonayo bado hajaingia kwenye top 10 ya matajiri duniani basi shughuli si ya kitoto nahisi nae Jay Z ana ndoto hiyo
 
S
iyo matajiri 10000 Fanya 30000
 
Bado kijana mdogo, kijana mwenye maono sio mbaya kuwa na ndoto hizo. Mleta uzi wewe mtaani kwenu ni Tajiri namba ngapi?.
 
umesema una Billion 2, wenye billion mbili huwa hawahangaiki kujadili watu,
 
Diamond kasema ndoto yake, wewe unampangia namna ya kuota tena? au siku hizi tunapangian namna ya kuota
 
Mwenzio ana ndoto za baadaye wewe una ndoto za muda huu

Mwenzio ana maono wewe unaona mwisho wa kivuli chako.
Hamuwezi kuwa na ndoto sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…