Ongera Sana kwa mapambano, Ndugu zangu, najua china inatupa bidhaa nyingi Sana na sie tunachuuza hapa bongo maisha yanaenda,but let me be blunt as brutal as it is necessary, wanaofaidika Sana kwa hii trade ni viwanda vya china, hv ndege ngapi zinatoka hapa bongo kwenda china na bidhaa za viwandani, (swali kwa ccm)! Kuna wafanyabiashara kutoka Zambia huja hapa bongo kununua bidhaa kariakoo, vitu kama nguo nk, lakini bidhaa nyingi hazijazalishwa bongo, hapa ni kama gulio tu la mchina!
Nimesafili na wafanyabiashara wengi kutoka Zambia kuja bongo, kwanza hakuna ndege ya air tz kutoka Zambia, wanapita Kenya, au Ethiopia, then bongo, Ila kenge wa ccm wnachojua ni kujenga airport chato! Na kusherehekea birthday ya mkoa!
Hata ile centre inayojengwa pale ubungo, stend kuu ya zamani, haitakuwa na faida kwa viwanda vya ndani(havipo,hata chereani tatu zinatoka nje), lile Lita kuwa gulio la bidhaa kutoka viwanda vya china, ni kama extension tu, watakuwa wamerahisisha baada ya kwenda china, utanunua hapa hapa bongo, ni kama kariakoo ya mchina ndani ya East Afrika!