MrsPablo1
JF-Expert Member
- Jun 9, 2013
- 1,073
- 1,941
Haya nishaagiza kupitia ofisi zenu ila hao jamaa wa china wanachelewa kujibu textMm ni mkweli na nishaanza kufanya Kazi na Baadhi ya members humu ndani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya nishaagiza kupitia ofisi zenu ila hao jamaa wa china wanachelewa kujibu textMm ni mkweli na nishaanza kufanya Kazi na Baadhi ya members humu ndani
Asante Mkuu kwa kutuamini na kusafirisha na sisi, God bless youWewe utakuwa mkweli? maana kuna jamaa humu alikuwa anajitangaza kama operation manager wa fago express nikawasaliana nae lakini ilibidi nifatilie kwa undani kabla sijaagiza mzigo kumbe jamaa hata hafanyi kazi hapo fago express na address ya china aliyonitumia sio ya fago express.
Na mimi nashukuru mzigo wangu umefika uko vizuri ndani ya muda mfupi.kuna mwingine alikuja kutangaza hapa kama wewe lakini kaishia kutapeli watu.Asante Mkuu kwa kutuamini na kusafirisha na sisi, God bless you
sasa mkuu mbona mna majina mawili...flamingo na sabour??Pia asante kwa Wana jamiiforum wengine mliosafirisha na sisi (nilikuwa mnanipa mrejesho kuwa mmeona tangazo JF) ,Nawashukuru sana .
Nilichojifunza Ni kuwa JF ina watu wazito , na wengine Ni baba/mama Zetu kabisa, so unapo reply messages Za, watu humu,reply kwa heshima.
Thank you all
@itakiamosasa mkuu mbona mna majina mawili...flamingo na sabour??
nani ni nani!?
Sent from my SHV45 using JamiiForums mobile app
Kwasasa inaitwa Sabour Express, ndo Jina tulilofanikiwa kisajili upande wa China, Sabour Express,.sasa mkuu mbona mna majina mawili...flamingo na sabour??
nani ni nani!?
Sent from my SHV45 using JamiiForums mobile app
Naomba kufaham masoko nafuu kwa simu na laptopRatiba ya wiki hii View attachment 3092435