Express your love kwa yule unayempenda Jamiiforums

Mkuu sungura1980 mimi ananifurahisha tu utendaji wake ni mtaalamu sana na anajituma kweli kweli akiwa kazini
Huwa akishanisaidia vizuri mimi moyo wangu wote namwachia yeye na akitaka kuniuwa awe mvivu kazini ni mtundu sana mkuu
Cc ICHANA

Hahahaaaa, Kibo10,,unasema ni mtundu eheee??Itabidi nije kufanya kazi hapo,tena bure bila mshahara!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…