mwekundu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 21,859
- 19,736
Inauma sana kila nikichukua mke wanapora halafu mimi ndiyo nakuwa mchepuko wake, si bora niingie ktk team tu. Mkuu mwekundu naomba form.
nimeshakutumia PM i wok on this ,usajili wako tutaumaliza leo hii,nahisi hata ada hutahitajika kuitoa all in all come to bazazis if u want to relax