Express your love kwa yule unayempenda Jamiiforums

Express your love kwa yule unayempenda Jamiiforums

Last edited by a moderator:
Wee bana waache warembo njoo kwenye forum za Wakenya utufahamishe kwa nini katika utajiri wa mijini, hamna mji hata mmoja wa Bongo upo kwenye ishirini bora Afrika, ilhali Nairobi yetu ipo ndani kumi bora. Yaani hata Dar es Salaam imeshindwa na Mombasa. Waite wenzio wakusaidie Kimweri Bulldog Geza Ulole Askari Kanzu https://www.jamiiforums.com/kenyan-...ouseholds-earning-over-$10-000-each-year.html
Kwa style hii, naona hata warembo wa Kibongo tutawateka wote, hapa Nairobi kuna jamaa yangu kamteka na kumuoa mtoto mrembo wa Iringa. Afu jinsi anavyobabaisha kwa Kiswahili chake kitamu, vijana wengi wameanza michakato ya kutalii Bongo.

nikitoka job jioni nakuja side hiyo ya KF.ila tatizo lenu wakenya mnaishi na kudanganywa sana na statistics hewa.anyway tusiharibu radha ya jukwaa la MMU.nitakuja huko kujibu hilo lililopo ktk link.

hilo la manzi wa kihehe toka iringa,warn your freind.kwa kawaida mademu wa kihehe ni wapole na wakimya sana,wanapenda toka rohoni.ila wana wivu.wahahe ni watu wenye hasira sana wanapo uziwa.hawaoni hasara kukuua au kujiua kutuliza hasira zao.kuua na kujiua ni jadi yao toka enzi za mtemi wao mkwawa.
 
Last edited by a moderator:
Niisababishe mie tena?

Eeeeenh wewe huyo ukilizua!!!!!!!!!!!!!!
Yaaani kazini ni..................:lalala:.....ukirudi nyumbani nako.........:horn:.............itakuwaje unadhani
 
Eeeeenh wewe huyo ukilizua!!!!!!!!!!!!!!
Yaaani kazini ni..................:lalala:.....ukirudi nyumbani nako.........:horn:.............itakuwaje unadhani

Haha haaaaaaa!!!
Mpaka nimecheka kwa sauti yaani!!!
 
Last edited by a moderator:
Mie Evelyn Salt tu, yaaan dah........Luv you so much dear!
 
Back
Top Bottom