nilikuwa fyatanga jumamosi, nikampigia Asprin, asijifanya hanijui! mfyuuuuuuuuuuu, gfsonwin tunaonana lini tule bata?? miss u mah! tumuite na Fixed Point, nimemmiss pia!
Wallah :grouphug:sante.
Me too darling...
Jamani sio PM, weka mambo hadhari member wajue unamzimia nani humu.
Nipendeni jamani ndo hamtaki!
jirekebishe baba, hukufanya vema, nilikumind mnooooo!
you cant be serious, İ know. We si nilikucol back tukashindwa kuskizana sababu ya simu yako mchina. Ntakununulia mpya mupenzi. Mi na wewe tumetoka mbali bhana.
subiri kwanza nilale ndo uanze hizi mambo
halafu mke mwenza siku hizi hubby wetu Kaizer ndio humpendi sana eeh??? sijaona ukieksipresi malovee hapa!!hahahahahah!!! akya mama tena OLESAIDIMU umenifanya nicheke khaaa!!!
love you mingi sana brodah!!
ila Kongosho na King'asti ngoja ni waspee kwanza manake nikisema sana ntaharibu sifa bureeee......nawapenda sanaaaa
Shukraan sana mamy.........mefurahi Wallah haya ukinionea farkhina na gorgeousmimi waambie bila ona wao mimi mabata ushungu!!!!!!!
Yes my love.
hahahahahah!!! akya mama tena OLESAIDIMU umenifanya nicheke khaaa!!!
love you mingi sana brodah!!
ila Kongosho na King'asti ngoja ni waspee kwanza manake nikisema sana ntaharibu sifa bureeee......nawapenda sanaaaa