Express your love kwa yule unayempenda Jamiiforums

Express your love kwa yule unayempenda Jamiiforums

jirekebishe baba, hukufanya vema, nilikumind mnooooo!

you cant be serious, İ know. We si nilikucol back tukashindwa kuskizana sababu ya simu yako mchina. Ntakununulia mpya mupenzi. Mi na wewe tumetoka mbali bhana.
 
Last edited by a moderator:
you cant be serious, İ know. We si nilikucol back tukashindwa kuskizana sababu ya simu yako mchina. Ntakununulia mpya mupenzi. Mi na wewe tumetoka mbali bhana.

subiri kwanza nilale ndo uanze hizi mambo
 
hahahahahah!!! akya mama tena OLESAIDIMU umenifanya nicheke khaaa!!!
love you mingi sana brodah!!

ila Kongosho na King'asti ngoja ni waspee kwanza manake nikisema sana ntaharibu sifa bureeee......nawapenda sanaaaa
halafu mke mwenza siku hizi hubby wetu Kaizer ndio humpendi sana eeh??? sijaona ukieksipresi malovee hapa!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom