OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,562
hahaha my twin OLESAIDIMU kam this way wanataka kuuana kwa mali za wizi lol
Wao na yeye wote watakuwa kundi moja on that day!!!!!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaha my twin OLESAIDIMU kam this way wanataka kuuana kwa mali za wizi lol
hapana mkuu,kwanza hakuna demu hata mmoja bali wanaume watupu ndio wanao lifanya jukwaa la KF kuwa active.ningefurahi kama na watoto wa kike nao wawe wanachangia.tupo KF kupangua uzushi,majigambo na mbwembwe za wakenya dhidi ya watz.muulize lawmaina78 atakwambia huwa tunawafanya nini wanapo kuja na mbwembwe zao.CC Kimweri Geza Ulole and Bulldog
back to the topic :umesema umesha mjua?!!!....kama umemjua iwe siri yako mkuu.usije ukamwaga mtama kwenye kuku wengi,au akazidisha mapozi kwangu.si unajua kidemu cha kibongo kikishajua umekipenda kinazidisha mashauzi kukukomoa.
angalau umenigusa lol!! maana sijatajwa mahala popote hahahah
broo nmefurahi kukuona. Habari za siku nyingi?. asante kwa kuja .mia
nilikuwa fyatanga jumamosi, nikampigia Asprin, asijifanya hanijui! mfyuuuuuuuuuuu, gfsonwin tunaonana lini tule bata?? miss u mah! tumuite na Fixed Point, nimemmiss pia!hahhahahhahha.........lol!!!
usjali sana love u mingi sana wangu, ngoja nitafute muda nikusake tukamsalimie cacico
hahaha twataka kujua mchavushaji wa hicho kibendi ni nani kuna utata hapo
weeeee nisisikie.Mimi ndo MKE halali hiyo love inatoka wap?
jiunge na lara1 kwenye kujifariji...
Go to work gal...
Its morning
hahaha The first thing I do when I arrive at work
is to log into JF...
Mimi hata sijui nimpende nani jamani?
Mbona wapo wengi tu wakupendwa? Ua huwaoni...
mimi nimeshamtumia PM NIKAMWELEZEA
Wayiii,we umenivalia miwani ya mbao sikuhizi. Skupendi ng'odo