Extortion au a protection racket kwa kutumia mgongo wa Shetani, ni mbinu wanayotumia Wachungaji kujipatia fedha

Pakome

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2024
Posts
1,651
Reaction score
1,129
Extortion au a protection racket kwa kutumia mgongo wa Shetani, ni mbinu wanayotumia Wachungaji kujipatia fedha kutoka kwa Waumini wao

Je wanafanyaje?

Kwasababu imeshazoeleka kuwa Shetani ni mbaya na wakutisha basi wanapita kwenye mgongo huo wa hofu kujipatia fedha

Wanapokuwa katika Ibada watakuwa wakizungumza mabaya ya Shetani ili kuwatengenezea Waumini hofu

Baada ya hofu kutanda, watawashawishi Waumini wao walipe gharama za kuondolewa matatizo ya Shetani katika maisha yao

Na kwasababu ya hofu waliyokwishakuwekewa wataweka juhudi kubwa ya kulipa gharama hizo ili wasaidiwe kuondolewa matatizo yanayodaiwa yamewekwa na Shetani

Wachungaji hao au matapeli wa Kiimani watakuwa wakiwaeleza Waumini wao kuwa wasipolipa gharama hizo au kununua bidhaa hizo basi Shetani atawamaliza

Kwahiyo nina kila sababu ya kusema kuwa Wachungaji ni matapeli kwasababu mimi ni Mwanasheria na ninatatua hizi kesi mara kwa mara

Ikiwa utamsikia kiongozi yeyote wa dini akijikita kwenye mada za kuzungumzia Shetani basi tambua lengo lake ni hilo
 
Wachache watakuelewa, mambo ya demand na suppy. Shetani anaundiwa zengwe ili watu waogope kisha waanze kuuziwa bidhaa za kujikinga naye. Hata mganga akitaka kukutibu lazima akujengee hofu kwanza ili ujione una tatizo kubwa na umechelewa kufika kwake japo bado upo on time.
 
Haswaaa ndio udanganyifu unaofanyika
 
Extortion au a protection racket kwa kutumia mgongo wa Shetani, ni mbinu wanayotumia Wachungaji kujipatia fedha kutoka kwa Waumini wao

Je wanafanyaje?

Kwasababu imeshazoeleka kuwa Shetani ni mbaya na wakutisha basi wanapita kwenye mgongo huo wa hofu kujipatia fedha

Wanapokuwa katika Ibada watakuwa wakizungumza mabaya ya Shetani ili kuwatengenezea Waumini hofu

Baada ya hofu kutanda, watawashawishi Waumini wao walipe gharama za kuondolewa matatizo ya Shetani katika maisha yao

Na kwasababu ya hofu waliyokwishakuwekewa wataweka juhudi kubwa ya kulipa gharama hizo ili wasaidiwe kuondolewa matatizo yanayodaiwa yamewekwa na Shetani

Wachungaji hao au matapeli wa Kiimani watakuwa wakiwaeleza Waumini wao kuwa wasipolipa gharama hizo au kununua bidhaa hizo basi Shetani atawamaliza

Kwahiyo nina kila sababu ya kusema kuwa Wachungaji ni matapeli kwasababu mimi ni Mwanasheria na ninatatua hizi kesi mara kwa mara

Ikiwa utamsikia kiongozi yeyote wa dini akijikita kwenye mada za kuzungumzia Shetani basi tambua lengo lake ni hilo
Umewachunguza wangapi ukaja na conclusion. Maana generilazition ni wrong approach

Kama target yako ni ku discredit hap watu, better have supporting data
 
Mchungaji wa Kweli akiwa kwenye Ibada hazungumzii habari za Shetani, atazungumza tu habari za Mungu
Kama anampenda Mungu ana ulazima gani wa kumzungumzia Shetani
 
Bado unaandika porojo, una supporting data kaka?

Dunia hii inataka facts sio porojo
 
Mtu anajiita nabii, sadaka anajenga hotel watu wakazagamuane
 
Back
Top Bottom