Pre GE2025 Ezekia Wenje: Lissu aliogopa kugombea Umakamu Mwenyekiti na mimi akihofia kudhalilika akishindwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wenje ni mnufaika wa wizi wa pesa za chadema uliofanywa kwa miaka yote sasa kaamua kujitoa fahamu ili ale pesa za mbowe na pia Mbowe amzawadie umakamu mwenyekiti waendelee kuiba pesa za chama
 
Hilo lijamaa linazidi kuonesha ni kiasi gani kichwani kwake kumejaa matope kila kukicha linazidi kujivua nguo tuu
Wenje ni kajitu ka hovyo sana, Mbowe kabugi kuokota Wenje waje kufanya nalo kazi , lakini mbowe anapenda watu wajinga jinga ili iwe rahisi kuwaburuza kiwepesi na kuiba pesa za chama bila kelele
 
Mbowe ni mwizi na ili azidi kuiba bila kelele anatengeneza uongozi wa mazezeta atakaokuwa akiwaburuza kirahisi
 
Tumechoshwa na ujinga wa hawa MAVICHAA YA CHADEMA.

Hapo yanajifanya yanatetea watanganyika kumbe njaa tupu.

Naagiza hii SACCOS YA MBOWE ifutwe mara moja.
Ushindani una raha yake broo. Tunavihitaji hivi vyama kuleta amsha amsha na maendeleo. Tatizo tuna vyama vya mfukoni.
 
Kumwamini mtu aliyetuhumiwa kula rushwa inataka kuwa na Imani ya kichaa tu. Kama Lissu ndiye angetuhumiwa kula rushwa asingepata supporters hata kidogo
 
Wenje ni mshamba sasa hapo ukichanganya na usukumer ndo inakua package Moja complete sana...
 
Asitoe kwenye mstari, Lissu aliamua kupambana na aliyekutuma, wewe pambana na Heche.
 
Hopeless Wenje, nilijua ana akili kidogo kumbe ni bogus kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…