Ezekiel Wenje ajibu mapigo ya Tundu Lissu na Godbless Lema, mazito yafichuliwa CHADEMA

Napenda namna CDM wanavyopasuana, its good for democracy. CCM hawawezi hivi hata kidogo, labda kuwekeana šūmû na kumalizana kimya kimya.
Hamna demokrasia hapo zaidi ya kuchafuana kwa wapiga kura.
 
Mwamba kaamua kupoteza muda tu. Sidhani kama anaweza kua na jambo la maana la kuongea. Na trust me hatavuta attention ya watu. Ni bad and wrong timing ya press... to prove that, tutaona humu humu kwa hii post, responses na reactions za watu..
But at least tujue nani ni nani. Hao wote walikimbia nchi wakamuacha Mbowe!
 
Huu ndio uongo mkubwa sasa Kama wao pia walikua wamekimbia nchi wangepinduaje??? Lakini pia kama Vikao vyenu halali vingeazimia kumtoa Aikael Nkurunzinza Kagame Ayatola Mbowe shida ilikua wapi??

Nyie mkipewa nchi mnatumaliza bora ccm itawale miaka mingine 50 wajinga sana nyie kwanza kila mtu anaita press nyie watu gani hamna adabu...Taasisi gani haina msemaji ??&Hovyo
 
Hizi pesa Abdul anapata nini kutoka Chadema mpaka atowe pesa zote hizi?
Hivi huwa mnadhani kila mtu hana akili ya kufikiri?

Lile kontena lilijaa kura feki Tunduma kama alivyotuaminisha Dr Slaa wakati wa Kikwete liko wapi?

Tutashitakiwa MIGA.
Hujui anapata nini? Hujui kulala kwa Chadema na raha ya Samia kutawala kwa raha huku wao kina Abdul wakiendelea kupiga mahela ya watanzania bila hofu ya kuwa exposed?
 
Poor statement
 
Embh jamani atakama tunataka mabadiriko kweli ndio kwa namna hii kweli kuwapa watu hawa nchi watu ambao ya kwao tu hawaezi kuficha
 
Mbona hamna jipya hapo, haya si mlishatuandikia humu!!! Au ilikuwa ni script imeandaliwa, mkawa mnaikariri kwanza!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…