Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Hamna demokrasia hapo zaidi ya kuchafuana kwa wapiga kura.Napenda namna CDM wanavyopasuana, its good for democracy. CCM hawawezi hivi hata kidogo, labda kuwekeana šūmû na kumalizana kimya kimya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna demokrasia hapo zaidi ya kuchafuana kwa wapiga kura.Napenda namna CDM wanavyopasuana, its good for democracy. CCM hawawezi hivi hata kidogo, labda kuwekeana šūmû na kumalizana kimya kimya.
Labda na wewe umekula gawio la fedha za Abduli mtoto wa Mama.Mimi namuamini.
But at least tujue nani ni nani. Hao wote walikimbia nchi wakamuacha Mbowe!Mwamba kaamua kupoteza muda tu. Sidhani kama anaweza kua na jambo la maana la kuongea. Na trust me hatavuta attention ya watu. Ni bad and wrong timing ya press... to prove that, tutaona humu humu kwa hii post, responses na reactions za watu..
Wakuu
Mjumbe wa Kamati Kuu na Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Victoria, ambaye pia ni Mtia Nia wa Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa, Ezekiel Wenje, anazungumza muda huu na Waandishi wa Habari.
Aliyoyazungumza Ezekiel Wenje
"Marafiki zangu wote, Lissu, Lema, Heche, wote wamekiri kwa nyakati tofauti kwamba mimi nilikuwa timu Lissu. Hata leo nimemsikia Tundu Lissu akiwa Clouds akisema, 'Nilipoona watu wameanza kushughulikiwa, mimi nikapiga u-turn (360) nikakimbia.' Nimemsikia akisema, 'Sasa na uongo umekuwa mwingi sana."
"Nianze kwa kusema hivi, ni kweli mimi nilikuwa timu Tundu Lissu na kwanini nilitoka, mnakumbuka mimi nilikimbia nchi, Lema alikimbia nchi na hata Lissu alikimbia nchi, experience ya kukimbia nchi yako sio kitu kidogo kwamba unaenda kwenye nchi ambayo hujuia mila na destuli zao, una ancha ndugu na na marafiki zako, sio experience ndogo"
"Sasa tukiwa huko mambo yakaenda mengi mpaka Mwenyekiti Freeman Mbowe akakamatwa na kwenda gerezani, Mwenyekiti akiwa gerezani mwaka 2022, akiwa gerezani marafiki zangu hawa wakashauriana waanzishe kitu kinaitwa Join the Chain na Mwenyekiti aliyeasisi hiyo movement ni rafiki yangu Godbless Lema na Join the Chain lengo lake ilikuwa ikusanywe fedha liitishwe Baraza Kuu, na mwisho wake Mkutano Mkuu lengo kubwa la vikao tulivyofanya kwasababu waliamini kabisa kwamba Freeman Mbowe ana kesi ya Ugaidi, waliamini kabisa kwamba Mbowe hawezi kutoka gerezani"
Hujui anapata nini? Hujui kulala kwa Chadema na raha ya Samia kutawala kwa raha huku wao kina Abdul wakiendelea kupiga mahela ya watanzania bila hofu ya kuwa exposed?Hizi pesa Abdul anapata nini kutoka Chadema mpaka atowe pesa zote hizi?
Hivi huwa mnadhani kila mtu hana akili ya kufikiri?
Lile kontena lilijaa kura feki Tunduma kama alivyotuaminisha Dr Slaa wakati wa Kikwete liko wapi?
Tutashitakiwa MIGA.
Huyo Abdul anagawa pesa ili apate nini in return?Labda na wewe umekula gawio la fedha za Abduli mtoto wa Mama.
Wakuu
Mjumbe wa Kamati Kuu na Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Victoria, ambaye pia ni Mtia Nia wa Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa, Ezekiel Wenje, anazungumza muda huu na Waandishi wa Habari.
Aliyoyazungumza Ezekiel Wenje
"Marafiki zangu wote, Lissu, Lema, Heche, wote wamekiri kwa nyakati tofauti kwamba mimi nilikuwa timu Lissu. Hata leo nimemsikia Tundu Lissu akiwa Clouds akisema, 'Nilipoona watu wameanza kushughulikiwa, mimi nikapiga u-turn (360) nikakimbia.' Nimemsikia akisema, 'Sasa na uongo umekuwa mwingi sana."
"Nianze kwa kusema hivi, ni kweli mimi nilikuwa timu Tundu Lissu na kwanini nilitoka, mnakumbuka mimi nilikimbia nchi, Lema alikimbia nchi na hata Lissu alikimbia nchi, experience ya kukimbia nchi yako sio kitu kidogo kwamba unaenda kwenye nchi ambayo hujuia mila na destuli zao, una ancha ndugu na na marafiki zako, sio experience ndogo"
"Sasa tukiwa huko mambo yakaenda mengi mpaka Mwenyekiti Freeman Mbowe akakamatwa na kwenda gerezani, Mwenyekiti akiwa gerezani mwaka 2022, akiwa gerezani marafiki zangu hawa wakashauriana waanzishe kitu kinaitwa Join the Chain na Mwenyekiti aliyeasisi hiyo movement ni rafiki yangu Godbless Lema na Join the Chain lengo lake ilikuwa ikusanywe fedha liitishwe Baraza Kuu, na mwisho wake Mkutano Mkuu lengo kubwa la vikao tulivyofanya kwasababu waliamini kabisa kwamba Freeman Mbowe ana kesi ya Ugaidi, waliamini kabisa kwamba Mbowe hawezi kutoka gerezani"
Mbona kule kwao Zanzibar hawagawi pesa kuuwa nguvu ya wafuasi wa Maalim Seif?Hujui anapata nini? Hujui kulala kwa Chadema na raha ya Samia kutawala kwa raha huku wao kina Abdul wakiendelea kupiga mahela ya watanzania bila hofu ya kuwa exposed?
Samia Zanzibar ana upinzani gani?Mbona kule kwao Zanzibar hawagawi pesa kuuwa nguvu ya wafuasi wa Maalim Seif?
Ukimtaja Zitto hakikisha unamtaja kwa heshima, ndo kafanya vijana tuipende ChademaSafi sana ,waroho wa madaraka lazima wachanwe ,mapinduzi ndani ya chama hayakubaliki...Lema/Lissu/Msigwa wangefuata utaratibu wa kugombea na si mikakati kama ya Zitto na Kitila.
Siyo kweli. Mkakati wa yule aliyezungusha FaFaFa ni mzito. Ogopa Mkuu.Kitendo cha Lema kutangaza kutogombea means ana fungu kutoka nje ambalo linamtosholeza kuishi.
wanafiq wapo makaburini muda huu wanamtafuta makamu wamambuziChadema wote ni wanafiq!