Ezekiel Wenje ajibu mapigo ya Tundu Lissu na Godbless Lema, mazito yafichuliwa CHADEMA

Ukipigwa HAKUNA kuhama chama, na tutapambana kutokana na majira - kama majira yatasema twende mabarabarani sawa au kama yatasema ni mezani sawa.
.very good Wenje...
 
Kinachonifufahisha kwa Wenye ni lafudhi ya kijaluo na michapio kama ya Mzee Ojwang, zaidi ya hapo ni kigugumizi tu. Hana hoja🤣🤣🤣
 
Nimefuatilia press zote mbili ya Lema na huyu Wenje

Naweza sema press ya Lema iko na nguvu sana,na yule mwamba anajua kujielezea,ameongea mambo menge yenye mashiko,naamini kabisa ukiweka mizania ya hizi press mbili,naamini ya Lema ina uzito sana

Huyu bwana naona kama kaja kujichoresha tu,mfano ishu ya Mbowe kutaka kupinduliwa ndio ingekuwa karata muhimu sana kwa Mwenyekiti kuishi nayo,na hata kabla ya uchaguzi naamini kabisa sheria zingefuatwa na hao wahaini wange adhibiwa

Bado ukweli utabakia pale pale ni wakati wa mabadiliko sasa
 
Mwaka huu ndio Kuna UCHAGUZI wenje atulize Fuvu

WENJE HANA CREDITILITY YA KUA MWANACHADEMA HATA KWA DAKIKA MBILI..
WENJE Ni mpiga deal kitambo tangia akiwa butimba ttc
 
Kumbe
Kumbe kinachotokea Leo ni mpango wa muda mrefu
 
Toka wenje akiri rasmi ni rafiki wa mtoto wa rais simuamini kamwe, maneno mengi ni ya kutungwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…