Kididimo
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 4,153
- 3,800
Hana jipya, ni majungu ya Kijaluo.Mpuuzi mpuuzi wenje wenje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hana jipya, ni majungu ya Kijaluo.Mpuuzi mpuuzi wenje wenje
Wakuu
Mjumbe wa Kamati Kuu na Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Victoria, ambaye pia ni Mtia Nia wa Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa, Ezekiel Wenje, anazungumza muda huu na Waandishi wa Habari.
Aliyoyazungumza Ezekiel Wenje
"Marafiki zangu wote, Lissu, Lema, Heche, wote wamekiri kwa nyakati tofauti kwamba mimi nilikuwa timu Lissu. Hata leo nimemsikia Tundu Lissu akiwa Clouds akisema, 'Nilipoona watu wameanza kushughulikiwa, mimi nikapiga u-turn (360) nikakimbia.' Nimemsikia akisema, 'Sasa na uongo umekuwa mwingi sana."
"Nianze kwa kusema hivi, ni kweli mimi nilikuwa timu Tundu Lissu na kwanini nilitoka, mnakumbuka mimi nilikimbia nchi, Lema alikimbia nchi na hata Lissu alikimbia nchi, experience ya kukimbia nchi yako sio kitu kidogo kwamba unaenda kwenye nchi ambayo hujuia mila na destuli zao, una ancha ndugu na na marafiki zako, sio experience ndogo"
"Sasa tukiwa huko mambo yakaenda mengi mpaka Mwenyekiti Freeman Mbowe akakamatwa na kwenda gerezani, Mwenyekiti akiwa gerezani mwaka 2022, akiwa gerezani marafiki zangu hawa wakashauriana waanzishe kitu kinaitwa Join the Chain na Mwenyekiti aliyeasisi hiyo movement ni rafiki yangu Godbless Lema na Join the Chain lengo lake ilikuwa ikusanywe fedha liitishwe Baraza Kuu, na mwisho wake Mkutano Mkuu lengo kubwa la vikao tulivyofanya kwasababu waliamini kabisa kwamba Freeman Mbowe ana kesi ya Ugaidi, waliamini kabisa kwamba Mbowe hawezi kutoka gerezani"
"Ikaitishwa movement 'Join the Chain', ambayo Godbless Lema alikuwa Mwenyekiti ili waende wafanye mapinduzi kwenye chama, Tundu Lissu awe mwenyekiti wa Chama, Mchungaji Peter Msigwa awe Makamu. Miliposhirikishwa mambo kama haya mimi nilikataa uasi, na hiyo ndio chanzo cha mimi kujiondoa kwenye hiyo timu Lissu."
Soma, Pia:
- Ezekiel Wenje: Kuhusu zilipoenda pesa za Join The Chain muulizeni Godbless Lema. Yeye ndo alikuwa Mwenyekiti!
- Ezekiel Wenje: Peter Msigwa na Lissu walipanga kufanya mapinduzi kipindi Mbowe yuko gerezani. Mimi nilikataa kuwa muasi
- Uzi maalumu wa matokeo Uchaguzi wa Baraza la Vijana (BAVICHA) na Baraza la Wazee (BAZECHA) na wanawake (BAWACHA) CHADEMA Taifa 2025
Hatumpi.Lissu hapewi chama
Apewe mara 2?Lissu hapewi chama
Tarehe 21 sept 2024 ulikuwa wapi?wanafiq wapo makaburini muda huu wanamtafuta makamu wamambuzi
Hana hojaaaa mjaluo..ojwangKinachonifufahisha kwa Wenye ni lafudhi ya kijaluo na michapio kama ya Mzee Ojwang, zaidi ya hapo ni kigugumizi tu. Hana hoja🤣🤣🤣
Ngoja nitoke ndukiiii 🏃🏃🏃Mbona WENJE anazungumza uongo kabisa hapa 🤣🤣🤣
Hela ya Abdul Inamkaanga aisee
Na bado. Kuna ule msemo kuhusu unayeishi ndani ya nyumba ya kioo.....
🤣🤣🤣Hana hojaaaa mjaluo..ojwang
Wakuu
Mjumbe wa Kamati Kuu na Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Victoria, ambaye pia ni Mtia Nia wa Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa, Ezekiel Wenje, anazungumza muda huu na Waandishi wa Habari.
Aliyoyazungumza Ezekiel Wenje
"Marafiki zangu wote, Lissu, Lema, Heche, wote wamekiri kwa nyakati tofauti kwamba mimi nilikuwa timu Lissu. Hata leo nimemsikia Tundu Lissu akiwa Clouds akisema, 'Nilipoona watu wameanza kushughulikiwa, mimi nikapiga u-turn (360) nikakimbia.' Nimemsikia akisema, 'Sasa na uongo umekuwa mwingi sana."
"Nianze kwa kusema hivi, ni kweli mimi nilikuwa timu Tundu Lissu na kwanini nilitoka, mnakumbuka mimi nilikimbia nchi, Lema alikimbia nchi na hata Lissu alikimbia nchi, experience ya kukimbia nchi yako sio kitu kidogo kwamba unaenda kwenye nchi ambayo hujuia mila na destuli zao, una ancha ndugu na na marafiki zako, sio experience ndogo"
"Sasa tukiwa huko mambo yakaenda mengi mpaka Mwenyekiti Freeman Mbowe akakamatwa na kwenda gerezani, Mwenyekiti akiwa gerezani mwaka 2022, akiwa gerezani marafiki zangu hawa wakashauriana waanzishe kitu kinaitwa Join the Chain na Mwenyekiti aliyeasisi hiyo movement ni rafiki yangu Godbless Lema na Join the Chain lengo lake ilikuwa ikusanywe fedha liitishwe Baraza Kuu, na mwisho wake Mkutano Mkuu lengo kubwa la vikao tulivyofanya kwasababu waliamini kabisa kwamba Freeman Mbowe ana kesi ya Ugaidi, waliamini kabisa kwamba Mbowe hawezi kutoka gerezani"
"Ikaitishwa movement 'Join the Chain', ambayo Godbless Lema alikuwa Mwenyekiti ili waende wafanye mapinduzi kwenye chama, Tundu Lissu awe mwenyekiti wa Chama, Mchungaji Peter Msigwa awe Makamu. Miliposhirikishwa mambo kama haya mimi nilikataa uasi, na hiyo ndio chanzo cha mimi kujiondoa kwenye hiyo timu Lissu."
Soma, Pia:
- Ezekiel Wenje: Kuhusu zilipoenda pesa za Join The Chain muulizeni Godbless Lema. Yeye ndo alikuwa Mwenyekiti!
- Ezekiel Wenje: Peter Msigwa na Lissu walipanga kufanya mapinduzi kipindi Mbowe yuko gerezani. Mimi nilikataa kuwa muasi
- Uzi maalumu wa matokeo Uchaguzi wa Baraza la Vijana (BAVICHA) na Baraza la Wazee (BAZECHA) na wanawake (BAWACHA) CHADEMA Taifa 2025
Wakuu
Mjumbe wa Kamati Kuu na Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Victoria, ambaye pia ni Mtia Nia wa Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa, Ezekiel Wenje, anazungumza muda huu na Waandishi wa Habari.
Aliyoyazungumza Ezekiel Wenje
"Marafiki zangu wote, Lissu, Lema, Heche, wote wamekiri kwa nyakati tofauti kwamba mimi nilikuwa timu Lissu. Hata leo nimemsikia Tundu Lissu akiwa Clouds akisema, 'Nilipoona watu wameanza kushughulikiwa, mimi nikapiga u-turn (360) nikakimbia.' Nimemsikia akisema, 'Sasa na uongo umekuwa mwingi sana."
"Nianze kwa kusema hivi, ni kweli mimi nilikuwa timu Tundu Lissu na kwanini nilitoka, mnakumbuka mimi nilikimbia nchi, Lema alikimbia nchi na hata Lissu alikimbia nchi, experience ya kukimbia nchi yako sio kitu kidogo kwamba unaenda kwenye nchi ambayo hujuia mila na destuli zao, una ancha ndugu na na marafiki zako, sio experience ndogo"
"Sasa tukiwa huko mambo yakaenda mengi mpaka Mwenyekiti Freeman Mbowe akakamatwa na kwenda gerezani, Mwenyekiti akiwa gerezani mwaka 2022, akiwa gerezani marafiki zangu hawa wakashauriana waanzishe kitu kinaitwa Join the Chain na Mwenyekiti aliyeasisi hiyo movement ni rafiki yangu Godbless Lema na Join the Chain lengo lake ilikuwa ikusanywe fedha liitishwe Baraza Kuu, na mwisho wake Mkutano Mkuu lengo kubwa la vikao tulivyofanya kwasababu waliamini kabisa kwamba Freeman Mbowe ana kesi ya Ugaidi, waliamini kabisa kwamba Mbowe hawezi kutoka gerezani"
"Ikaitishwa movement 'Join the Chain', ambayo Godbless Lema alikuwa Mwenyekiti ili waende wafanye mapinduzi kwenye chama, Tundu Lissu awe mwenyekiti wa Chama, Mchungaji Peter Msigwa awe Makamu. Miliposhirikishwa mambo kama haya mimi nilikataa uasi, na hiyo ndio chanzo cha mimi kujiondoa kwenye hiyo timu Lissu."
Soma, Pia:
- Ezekiel Wenje: Kuhusu zilipoenda pesa za Join The Chain muulizeni Godbless Lema. Yeye ndo alikuwa Mwenyekiti!
- Ezekiel Wenje: Peter Msigwa na Lissu walipanga kufanya mapinduzi kipindi Mbowe yuko gerezani. Mimi nilikataa kuwa muasi
- Uzi maalumu wa matokeo Uchaguzi wa Baraza la Vijana (BAVICHA) na Baraza la Wazee (BAZECHA) na wanawake (BAWACHA) CHADEMA Taifa 2025
Kama Chadema digital tuJoin the Chain itaondoka na mtu.
Amandla...
Ccm hawawezi...Napenda namna CDM wanavyopasuana, its good for democracy. CCM hawawezi hivi hata kidogo, labda kuwekeana šūmû na kumalizana kimya kimya.