Ezekiel Wenje Chadema Haina Pesa?

Ezekiel Wenje Chadema Haina Pesa?

Mbowe ni mwizi kama wezi wengine pesa zote za chama huiba kisha kuzitakatisha kwa kujidai amekopesha chama
 
Tatizo lenu washabiki namyi mnaongelea mambo ya chama.

Mlitakiwa muwaachie wanachama, waongee mambo ya chama chao.
ACT hata Zanzibar haishindi tena, na Tanganyika ndio sahau kabisa, hata kigoma hawapati hata jimbo moja.

Mnamchukia Mbowe kwanini msimuache afe na chama chake?

Hata msimkumbuke.
Usiwapangie watu cha kuongea kwani hiki ni kipindi cha kampeni ndipo mda mwafaka wa kuanika maovu yote ya mbowe ili hata akiiba kura akawa mwenyekiti tena awe kajifunza kuishi kwa Adabu
 
Mbowe kwisha kazi saccos yake itaenda kumfia mikononi mwake watu wamesanuka wamejua kumbe mbowe ni mwizi wa pesa za chama na kibaya zaidi anamtumia Dalali wenje kueneza propaganda za kijinga zaidi
 
Pesa zote ambazo Mbowe hujidai ni zake si pesa zake ni pesa zilezilee za chadema ambazo Mbowe huziiba kisha kujimilikisha kienyeji kifisadi na kuzitakatisha kwa kujidai anatoa pesa yake kusaidia chama na pia hujidai kakopesha chama madeni hewa, madeni ya kutengeneza, hugushi kila kitu kuharalisha ufisadi wake, Mbowe ni mwizi hatari sana, ndiyo maana hataki mtu mwingine awe mwenyekiti wa chadema kwa hofu ya madudu yake, uovu wake ikiwemo Rushwa ya Ngono kwa viti maalum, yupo tayari auze hata figo kuhakikisha kuwa anawakuwa mwenyeki tena apate kuendelea kula pesa za chama ambacho ni saccos yake
 
Chadema ni duka na saccos ya mbowe binafsi ndiyo maana hata katibu mkuu wa chadema hana mamlaka idara ya fedha za chama, Mbowe kahodhi kila kitu upande wa pesa na huwa hataki mtu kusogea wala kuhoji chochote
 
Mbowe hakuzoea haya alizoea kuwamaliza mapema wanaowania uenyekiti kisha anajidai kapita bila kupingwa, safari hii Lisu kamweza alitangaza kuwania uenyekiti ghafra kwa kumshitukiza ingawa Mbowe kaunda kamati ya Roho mbaya ikiongozwa na Mdee, Wenje na Boniface ili wamdhoofishe lisu kila kona, watafeli sana kwani Wajumbe wanakula pesa zao kisha kwenye sanduku la kura watafanya yao kwani moyoni wapo na Lisu na machoni wapo kula pesa za mbowe ambazo anagawa kama mvua
 
Tatizo lenu washabiki namyi mnaongelea mambo ya chama.

Mlitakiwa muwaachie wanachama, waongee mambo ya chama chao.
ACT hata Zanzibar haishindi tena, na Tanganyika ndio sahau kabisa, hata kigoma hawapati hata jimbo moja.

Mnamchukia Mbowe kwanini msimuache afe na chama chake?

Hata msimkumbuke.
Chadema ilipata majimbo mangapi? Zaidi ya wabunge wa mchongo wa Mbowe akina Halima mdee!
Believe me hili saga linakwenda kuizamisha chadema. Maana kwa vyovyote vile Mbowe hatakubali kushindwa.
 
Chadema ilipata majimbo mangapi? Zaidi ya wabunge wa mchongo wa Mbowe akina Halima mdee!
Believe me hili saga linakwenda kuizamisha chadema. Maana kwa vyovyote vile Mbowe hatakubali kushindwa.
Chadema ikizama unapata hasara gani.

Ngoja izame muondoke, itasukwa upya.

Kwanini ashindane halafu akubali kushindwa?
 
Usiwapangie watu cha kuongea kwani hiki ni kipindi cha kampeni ndipo mda mwafaka wa kuanika maovu yote ya mbowe ili hata akiiba kura akawa mwenyekiti tena awe kajifunza kuishi kwa Adabu
Hahaha aibe kura gani sasa, kura hazijapigwa, mmeshaanza kumzushia wizi, mkiambiwa mlete ushahidi, mnaleta maneno ya Lisu kasema.

Mmeshawaza kuibiwa, mnaibiwa nini wakati hamna kitu.
 
Chadema ikizama unapata hasara gani.

Ngoja izame muondoke, itasukwa upya.

Kwanini ashindane halafu akubali kushindwa?
Tusichotaka ni kutufanya mitaji yenu! Watu tumerisk kazi zetu kisa kupigania mabadiliko ndani ya nchi yetu kwa kuiamini itikadi ya chadema kumbe kuna wasanii kama akina mbowe wanatuuza kwa bei chee! Chama ni wanachana na siyo kamati kuu peke yake!
Leo CCM wanampigania Mbowe awe mwenyekiti.....yaani tangu lini ccm wakaipenda chadema imara?
 
Huo ni uongo, CCM kumpigania Mbowe. Lete ushahidi wa hilo.

Mnapokosa hoja manaruka ruka hovyo kudandia dandia vihoja visivyo kuwepo.

Sasa kelele za nini, gombea nafasi uweze kuingia kwenye kamati kuu ulete mabadiriko unayotaka.

Fanyeni kampeni zenu mkiwa mnatoa data kamili, acheni kubwabwaja, tunawaona mlivokosa hoja na mashiko.
 
Unatumia mtandao wa x? Nenda kule uone makada wa ccm wanavyomnanga lissu na kumpamba Mbowe.
Hata humu jamii forums tumeona akina Lucas Mwashambwa wanavyompamba mbowe.
 
Back
Top Bottom