Usiwapangie watu cha kuongea kwani hiki ni kipindi cha kampeni ndipo mda mwafaka wa kuanika maovu yote ya mbowe ili hata akiiba kura akawa mwenyekiti tena awe kajifunza kuishi kwa AdabuTatizo lenu washabiki namyi mnaongelea mambo ya chama.
Mlitakiwa muwaachie wanachama, waongee mambo ya chama chao.
ACT hata Zanzibar haishindi tena, na Tanganyika ndio sahau kabisa, hata kigoma hawapati hata jimbo moja.
Mnamchukia Mbowe kwanini msimuache afe na chama chake?
Hata msimkumbuke.
Chadema ilipata majimbo mangapi? Zaidi ya wabunge wa mchongo wa Mbowe akina Halima mdee!Tatizo lenu washabiki namyi mnaongelea mambo ya chama.
Mlitakiwa muwaachie wanachama, waongee mambo ya chama chao.
ACT hata Zanzibar haishindi tena, na Tanganyika ndio sahau kabisa, hata kigoma hawapati hata jimbo moja.
Mnamchukia Mbowe kwanini msimuache afe na chama chake?
Hata msimkumbuke.
Chadema ikizama unapata hasara gani.Chadema ilipata majimbo mangapi? Zaidi ya wabunge wa mchongo wa Mbowe akina Halima mdee!
Believe me hili saga linakwenda kuizamisha chadema. Maana kwa vyovyote vile Mbowe hatakubali kushindwa.
Hahaha aibe kura gani sasa, kura hazijapigwa, mmeshaanza kumzushia wizi, mkiambiwa mlete ushahidi, mnaleta maneno ya Lisu kasema.Usiwapangie watu cha kuongea kwani hiki ni kipindi cha kampeni ndipo mda mwafaka wa kuanika maovu yote ya mbowe ili hata akiiba kura akawa mwenyekiti tena awe kajifunza kuishi kwa Adabu
Tusichotaka ni kutufanya mitaji yenu! Watu tumerisk kazi zetu kisa kupigania mabadiliko ndani ya nchi yetu kwa kuiamini itikadi ya chadema kumbe kuna wasanii kama akina mbowe wanatuuza kwa bei chee! Chama ni wanachana na siyo kamati kuu peke yake!Chadema ikizama unapata hasara gani.
Ngoja izame muondoke, itasukwa upya.
Kwanini ashindane halafu akubali kushindwa?
Huo ni uongo, CCM kumpigania Mbowe. Lete ushahidi wa hilo.Tusichotaka ni kutufanya mitaji yenu! Watu tumerisk kazi zetu kisa kupigania mabadiliko ndani ya nchi yetu kwa kuiamini itikadi ya chadema kumbe kuna wasanii kama akina mbowe wanatuuza kwa bei chee! Chama ni wanachana na siyo kamati kuu peke yake!
Leo CCM wanampigania Mbowe awe mwenyekiti.....yaani tangu lini ccm wakaipenda chadema imara?
Unatumia mtandao wa x? Nenda kule uone makada wa ccm wanavyomnanga lissu na kumpamba Mbowe.Huo ni uongo, CCM kumpigania Mbowe. Lete ushahidi wa hilo.
Mnapokosa hoja manaruka ruka hovyo kudandia dandia vihoja visivyo kuwepo.
Sasa kelele za nini, gombea nafasi uweze kuingia kwenye kamati kuu ulete mabadiriko unayotaka.
Fanyeni kampeni zenu mkiwa mnatoa data kamili, acheni kubwabwaja, tunawaona mlivokosa hoja na mashiko.
Mbowe Ndiye Chaguo sahihi la wana CHADEMA na ndiye awezaye kuiongoza CHADEMA.tofauti na lissu ambaye kazi yake kubwa ni Uropokaji na ukurupukaji tuUnatumia mtandao wa x? Nenda kule uone makada wa ccm wanavyomnanga lissu na kumpamba Mbowe.
Hata humu jamii forums tumeona akina Lucas Mwashambwa wanavyompamba mbowe.
🤣🤣🤣🤣🤣Mbowe Ndiye Chaguo sahihi la wana CHADEMA na ndiye awezaye kuiongoza CHADEMA.tofauti na lissu ambaye kazi yake kubwa ni Uropokaji na ukurupukaji tu