Ezekiel Wenje: Kuhusu zilipoenda pesa za Join The Chain muulizeni Godbless Lema. Yeye ndo alikuwa Mwenyekiti!

Upinzani ni matapeli tu, sasa tu angalia Tapeli wenye afadhali, Lisu, na wenje!
Wote matapeli hatuwapi nchi hao watatuuza kwa wazungu. Angalia Lissu kila siku yuko kwa Ubelgiji kwa mabwana zake. CDM kwishaaaa!!
 
Wote matapeli hatuwapi nchi hao watatuuza kwa wazungu. Angalia Lissu kila siku yuko kwa Ubelgiji kwa mabwana zake. CDM kwishaaaa!!

The tuuze nchi maana Ccm ndo matapeli wakubwa kabisa; acha ujinga
 
Ila kwa kweli wamepoteana sana hawa jamaa. Kila kona tafrani tu, huyu hili, yule lile!
 
Ukitaka uwehuke basi kuwa mfuasi wa siasa na wanaharakati wa matumbo njaa wa Tanzania...
Utayumbishwa sana mwisho wa siku upinzani na chama tawala wanaenda kuchekea chooni kwa pamoja.
 

John Mnyika Amaliza Utata wa Pesa Za Join The Chain.Ataja kiasi kilichopatikana na kazi zilizofanya. Asema wajumbe wote wa kamati kuu walikuwa wanajua​

 
🤣 🤣 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…