Ezekiel Wenje: Kuhusu zilipoenda pesa za Join The Chain muulizeni Godbless Lema. Yeye ndo alikuwa Mwenyekiti!

Ezekiel Wenje: Kuhusu zilipoenda pesa za Join The Chain muulizeni Godbless Lema. Yeye ndo alikuwa Mwenyekiti!

Upinzani ni matapeli tu, sasa tu angalia Tapeli wenye afadhali, Lisu, na wenje!
Wote matapeli hatuwapi nchi hao watatuuza kwa wazungu. Angalia Lissu kila siku yuko kwa Ubelgiji kwa mabwana zake. CDM kwishaaaa!!
 
Wote matapeli hatuwapi nchi hao watatuuza kwa wazungu. Angalia Lissu kila siku yuko kwa Ubelgiji kwa mabwana zake. CDM kwishaaaa!!

The tuuze nchi maana Ccm ndo matapeli wakubwa kabisa; acha ujinga
 
Ila kwa kweli wamepoteana sana hawa jamaa. Kila kona tafrani tu, huyu hili, yule lile!
 
Ukitaka uwehuke basi kuwa mfuasi wa siasa na wanaharakati wa matumbo njaa wa Tanzania...
Utayumbishwa sana mwisho wa siku upinzani na chama tawala wanaenda kuchekea chooni kwa pamoja.
 
Wakuu,

Kwa muda mrefu sasa kumekuwa na maswali kuhusu wapi ilienda michango ya Wanachadema waliyoitoa kwenye kampeni ya Join The Chain.

Leo Ezekiel Wenje, amesema kuwa asihusishwe tena na fedha hizo kwani Godbless Lema ndiye alikuwa Mwenyekiti wa kampeni hiyo


View attachment 3203416

John Mnyika Amaliza Utata wa Pesa Za Join The Chain.Ataja kiasi kilichopatikana na kazi zilizofanya. Asema wajumbe wote wa kamati kuu walikuwa wanajua​

 
View attachment 3203540


Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ameongoza matembezi ya mguu kwa mguu katika kata ya Kunduchi kwaajili ya kukusanya fedha za uendeshaji wa chama hicho.

Machi 25, 2022 Makamu mwenyekiti wa Chadema Bara, Tundu Lissu, akiwa Ubelgiji alizindua kampeni ya ‘Joing The Chain’ yenye lengo la kuchangia chama hicho kwaajili ya shughuli mbalimbali ikiwemo mkutano wa baraza kuu unaotarajiwa kufanyika Aprili 25 mwaka huu.

“Kampeni hii ni kwaajili ya kuchangia chama chochote ulichonacho, ili kufanya ukombozi wa kweli wa nchi yetu, dhuluma zimezidi gharama za maisha zimekuwa kubwa sana na kipato cha wananchi kimezidi kupungua,”alisema Mbowe.

Source: Mzalendo


Soma pia:

Kwa mjibu wa Wenje hapo mpinduliwa Mbowe akiwa anakusanya pesa za kujipindua.

Wenje ni tapeli?!
🤣 🤣 🤣
 
Back
Top Bottom