Ezekiel Wenje: Lema ndiye aliongoza kumshughulikia Zitto Kabwe mpaka kuondoka CHADEMA

Ezekiel Wenje: Lema ndiye aliongoza kumshughulikia Zitto Kabwe mpaka kuondoka CHADEMA

Wakuu,


Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Victoria, Ezekia Wenje, amesema aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema, ndiye aliyeongoza mpango wa kumuondoa Zitto Kabwe katika chama hicho baada ya kupata laptop yenye baadhi ya taarifa za mipango ya kufanya uasi iliyokuwa ikiratibiwaa na Zitto Kabwe.



View attachment 3203499
Haina maana yyt kwa sasa.....ngoma ni moja tu TL for Mwenyekiti....Suktan Kenge..za tupa kule kwa wakwe zake
 
Lema alisemaga,afadhali simba 100 walioko nje kuliko kitoto cha nyoka kilichoko ndani.Wakati huo jamaa alikuwa akiongea kila kiumbe kinajua jamaa kaongea.Ila ndio hivyo kila jambo na wakati wake
 
Haina maana yyt kwa sasa.....ngoma ni moja tu TL for Mwenyekiti....Suktan Kenge..za tupa kule kwa wakwe zake
Moja ya faida anayopata Lisu ni Mbowe kuwatanguliza vilaza mazezeta kama Wenje mbele, matokeo yake ni Aibu kwa mbowe na faida kwa Lisu
 
Dalali wenje sasa kaanza kuvuta Bangi na kuzidi kuboronga zaidi
 
Mbowe kuwa na chawa Dalali wenje bega kwa imesaidia kujua Akili za mbowe zilivyo finyu kwani mtu wa hovyo kama wenje kumpa jukumu la kuitetea kambi ya mbowe ni aibu kubwa mno
 
Wenje ni kajitu ka hovyo kaliko kaa kwa mbowe kumharibia kila kitu na kumletea Aibu kubwa
 
Wenje akili yako na upeo bado ni mdogo Sana, hautamuweza Lema.

Mbowe lazima ang'oke
 
Back
Top Bottom