Ezekiel Wenje: Lema ndiye aliongoza kumshughulikia Zitto Kabwe mpaka kuondoka CHADEMA

Tunamshukuru sana kwa yote, lakini sasa atupishe tunamtaka LISSU na HECHE.
Ehhee kwani lazima Chadema?Mwenye Chama chake mnataka mmtupe nje ili iweje?
Akutaka kugombea uwenyekiti safari hii,lakini alipogunduwa sakata ya mapinduzi ameamua kubaki hapo hadi amewaondoa hao wasiokuwa na adabu.Hata kama......
.
 
Wakuu,

Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Victoria, Ezekia Wenje, amesema aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema, ndiye aliyeongoza mpango wa kumuondoa Zitto Kabwe katika chama hicho baada ya kupata laptop yenye baadhi ya taarifa za mipango ya kufanya uasi iliyokuwa ikiratibiwaa na Zitto Kabwe.

View attachment 3203499
Hili taahira kweli hela ya Abdul imemtoa weledi kabisa. Ngoja kesho atavuliwa nguo hadi akimbilie kwa Kisumu
 
Dalali wenje na mbowe masimango sasa ni waimba Taarabu mipasho Akili zao zimedumaa kwa kiwango cha kutisha baada ya kulewa pesa alizoiba kwenye hazina ya chadema
 
Ehhee kwani lazima Chadema?Mwenye Chama chake mnataka mmtupe nje ili iweje?
Akutaka kugombea uwenyekiti safari hii,lakini alipogunduwa sakata ya mapinduzi ameamua kubaki hapo hadi amewaondoa hao wasiokuwa na adabu.Hata kama......
.
Mwenye chama chake angehaha kutumia mapesa kununua uenyekiti? Mapinduzi yapi kutoka wapi? Acha kutengeneza mapinduzi hewa, Kipindi cha uchaguzi kila mmoja ana haki ya kugombea uenyekiti, wasiokuwa na Adabu ipi? Mbowe na Dalali wenje ndiyo hawana Adabu hawataki demokrasia hawataki uhuru wa kugombea chochote
 
Lema na Lisu walishiriki moja kwa moja kumchafua Zitto pamoja na Kumsafisha Lowasa
Unajotahidi kumsafisha Mbowe kwa kujaribu kuwachafua Lema na Lissu, ukimtetea Mbowe utaonekana chizi kama Wenje leo. Au hukumuona?
 
Mbowe akiwa mwenyekiti baada ya kuiba kura na Wenje Dalali awe makamu mwenyekiti wake hakika chadema itakuwa chama cha hovyo hovyo haijapata kutokea
Watakosa uhalali wa kuikemea CCM kwa rushwa
 
Ehhee kwani lazima Chadema?Mwenye Chama chake mnataka mmtupe nje ili iweje?
Akutaka kugombea uwenyekiti safari hii,lakini alipogunduwa sakata ya mapinduzi ameamua kubaki hapo hadi amewaondoa hao wasiokuwa na adabu.Hata kama......
.
Wanufaika wa pesa alizoiba Mbowe toka chadema wote mmejoa fahamu na kuwa na Akili finyu kama Dadali wenje
 
Ni Aibu kubwa chadema kuwa ni kiumbe cha ajabu kama Wenje
 
Ehhee kwani lazima Chadema?Mwenye Chama chake mnataka mmtupe nje ili iweje?
Akutaka kugombea uwenyekiti safari hii,lakini alipogunduwa sakata ya mapinduzi ameamua kubaki hapo hadi amewaondoa hao wasiokuwa na adabu.Hata kama......
.
Chadema ni cha wanachama.
 
Mwenye chama chake angehaha kutumia mapesa kununua uenyekiti? Mapinduzi yapi kutoka wapi? Acha kutengeneza mapinduzi hewa, Kipindi cha uchaguzi kila mmoja ana haki ya kugombea uenyekiti, wasiokuwa na Adabu ipi? Mbowe na Dalali wenje ndiyo hawana Adabu hawataki demokrasia hawataki uhuru wa kugombea chochote
Lakini kwanini inatumika nguvu nyingi ya kutaka kumuondoa Mwenyekiti hata bila kupitia sanduku la kura? Au ndio modern trend kutoka bandari ya Antwerp Belgium?
 
Hakuna nguvu ya kutumika bali Mbowe mwenyewe ndiyo aliyataka haya kwani walikubaliana na Lisu kila mmoja agombee nafasi yake lakini mbowe akamgeuka Lisu kwa kumchomeka Wenje kienyeji na pia kumtuma aende nyumbani kwa Lisu kumpelekea pesa wapate kumshusha kumteketeza kisiasa, ubaya ubwela wa mbowe ulipobainika ndipo lisu akaamua kugombea uenyekiti ili asafishe Uozo wa mbowe ikiwemo wizi wa pesa za chama Rushwa ya ngono kwa viti maalum
 
Mbowe ni mwizi kama wezi wengine kaiba pesa zote za chadema ndiyo maana hataki kuachia uenyekiti kwa hofu ya kupelekwa jela kwa kesi za wizi wa pesa za chama ,
 
Mahakama ipi? Kesi wapi? Ushahidi uletewe hapo ghetto kwa wenje? au uletewe gheto kwa mfalume Mbowe ?
Kama mambo yamefikia hapo turudi kwenye chama.
Kabla ya uchaguzi ilikuwa sahihi Lissu Team kudai marekebisho ya katiba kuwa uwenyekiti wa taifa uwe na kikomo.
Ndipo Lissu Team ingeingia kwenye uchaguzi. Cha ajabu Lissu alitangaza kuwania ukuu huo bila kufanya marekebisho.
Lakini bado pro Lissu ni wajumbe kamati kuu wana uwezo wa kujenga hoja kwenye vikao rasmi vya chama.
Lakini kwa sasa ni kama mnachoma nyumba yenu kwa pammoja.Kumbuka kuna kesho baada ya uchaguzi.
Kuna muda NCCR Mageuzi na CUF vilikuwa vyama vikubwa vya upinzani.
Mnapoelekea huko mtajikuta ukubwa wenu ni size ya pilton.
 
Hakuna nguvu ya kutumika bali Mbowe mwenyewe ndiyo aliyataka haya kwani walikubaliana na Lisu kila mmoja agombee nafasi yake lakini mbowe akamgeuka Lisu kwa kumchomeka Wenje kienyeji na pia kumtuma aende nyumbani kwa Lisu kumpelekea pesa wapate kumshusha kumteketeza kisiasa, ubaya ubwela wa mbowe ulipobainika ndipo lisu akaamua kugombea uenyekiti ili asafishe Uozo wa mbowe ikiwemo wizi wa pesa za chama Rushwa ya ngono kwa viti maalum
Lakini mkuu hakuna familia isiyokuwa na matatizo.Vivyo hivyo vyama vingine na CCM ikiwemo wanazo changamoto kama za Chadema.
Lakini haya mambo ya kujilipua nje kweupe sijui baada ya uchaguzi Chadema itakuwa na sura ipi.
 
Back
Top Bottom