Ezekiel Wenje: Lema ndiye aliongoza kumshughulikia Zitto Kabwe mpaka kuondoka CHADEMA

Ezekiel Wenje: Lema ndiye aliongoza kumshughulikia Zitto Kabwe mpaka kuondoka CHADEMA

Zitto kashasema wazi kabisa kwamba Lissu na Lema ndiyo walimkaanga, si viongozi wazuri hawanaga subira na ustahamilivu.
 
Wakuu,


Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Victoria, Ezekia Wenje, amesema aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema, ndiye aliyeongoza mpango wa kumuondoa Zitto Kabwe katika chama hicho baada ya kupata laptop yenye baadhi ya taarifa za mipango ya kufanya uasi iliyokuwa ikiratibiwaa na Zitto Kabwe.



View attachment 3203499
Huyu mtu sijui kwa nini hachoki. Hakubaliki na mtu yoyote ila yumo tu. Anayemtuma anajitekenya na kucheka mwenyewe. Mtu wenu hana mvuto wa kusikilizwa, hana ushawishi, kwa sura tu anaonekana ni msanii aliyejaa rushwa!
 
Back
Top Bottom