Ehhee kwani lazima Chadema?Mwenye Chama chake mnataka mmtupe nje ili iweje?Tunamshukuru sana kwa yote, lakini sasa atupishe tunamtaka LISSU na HECHE.
Hili taahira kweli hela ya Abdul imemtoa weledi kabisa. Ngoja kesho atavuliwa nguo hadi akimbilie kwa KisumuWakuu,
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Victoria, Ezekia Wenje, amesema aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema, ndiye aliyeongoza mpango wa kumuondoa Zitto Kabwe katika chama hicho baada ya kupata laptop yenye baadhi ya taarifa za mipango ya kufanya uasi iliyokuwa ikiratibiwaa na Zitto Kabwe.
View attachment 3203499
Mwenye chama chake angehaha kutumia mapesa kununua uenyekiti? Mapinduzi yapi kutoka wapi? Acha kutengeneza mapinduzi hewa, Kipindi cha uchaguzi kila mmoja ana haki ya kugombea uenyekiti, wasiokuwa na Adabu ipi? Mbowe na Dalali wenje ndiyo hawana Adabu hawataki demokrasia hawataki uhuru wa kugombea chochoteEhhee kwani lazima Chadema?Mwenye Chama chake mnataka mmtupe nje ili iweje?
Akutaka kugombea uwenyekiti safari hii,lakini alipogunduwa sakata ya mapinduzi ameamua kubaki hapo hadi amewaondoa hao wasiokuwa na adabu.Hata kama......
.
Unajotahidi kumsafisha Mbowe kwa kujaribu kuwachafua Lema na Lissu, ukimtetea Mbowe utaonekana chizi kama Wenje leo. Au hukumuona?Lema na Lisu walishiriki moja kwa moja kumchafua Zitto pamoja na Kumsafisha Lowasa
Watakosa uhalali wa kuikemea CCM kwa rushwaMbowe akiwa mwenyekiti baada ya kuiba kura na Wenje Dalali awe makamu mwenyekiti wake hakika chadema itakuwa chama cha hovyo hovyo haijapata kutokea
Wanufaika wa pesa alizoiba Mbowe toka chadema wote mmejoa fahamu na kuwa na Akili finyu kama Dadali wenjeEhhee kwani lazima Chadema?Mwenye Chama chake mnataka mmtupe nje ili iweje?
Akutaka kugombea uwenyekiti safari hii,lakini alipogunduwa sakata ya mapinduzi ameamua kubaki hapo hadi amewaondoa hao wasiokuwa na adabu.Hata kama......
.
Fungua kesi na Peleka ushahidi mahakamani tuache minongono.Wanufaika wa pesa alizoiba Mbowe toka chadema wote mmejoa fahamu na kuwa na Akili finyu kama Dadali wenje
Chadema ni cha wanachama.Ehhee kwani lazima Chadema?Mwenye Chama chake mnataka mmtupe nje ili iweje?
Akutaka kugombea uwenyekiti safari hii,lakini alipogunduwa sakata ya mapinduzi ameamua kubaki hapo hadi amewaondoa hao wasiokuwa na adabu.Hata kama......
.
Pesa zote alizoiba Mbowe anazitumia kununua Uenyekiti kwa njia zote haramu ikiwemo uchakachuaji kuiba kura na mambo yote ya hovyoDuh aiseee
Lakini kwanini inatumika nguvu nyingi ya kutaka kumuondoa Mwenyekiti hata bila kupitia sanduku la kura? Au ndio modern trend kutoka bandari ya Antwerp Belgium?Mwenye chama chake angehaha kutumia mapesa kununua uenyekiti? Mapinduzi yapi kutoka wapi? Acha kutengeneza mapinduzi hewa, Kipindi cha uchaguzi kila mmoja ana haki ya kugombea uenyekiti, wasiokuwa na Adabu ipi? Mbowe na Dalali wenje ndiyo hawana Adabu hawataki demokrasia hawataki uhuru wa kugombea chochote
Mahakama ipi? Kesi wapi? Ushahidi uletewe hapo ghetto kwa wenje? au uletewe gheto kwa mfalume Mbowe ?Fungua kesi na Peleka ushahidi mahakamani tuache minongono.
Wewe kama unaona heche ana busara basi mtafute tabibu mbobezi wa watu wenye matatizo ya kijinsia.Kama unaona Wenje ana busara kama Heche basi mtafute tabibu wa afya ya akili.
Hakuna nguvu ya kutumika bali Mbowe mwenyewe ndiyo aliyataka haya kwani walikubaliana na Lisu kila mmoja agombee nafasi yake lakini mbowe akamgeuka Lisu kwa kumchomeka Wenje kienyeji na pia kumtuma aende nyumbani kwa Lisu kumpelekea pesa wapate kumshusha kumteketeza kisiasa, ubaya ubwela wa mbowe ulipobainika ndipo lisu akaamua kugombea uenyekiti ili asafishe Uozo wa mbowe ikiwemo wizi wa pesa za chama Rushwa ya ngono kwa viti maalumLakini kwanini inatumika nguvu nyingi ya kutaka kumuondoa Mwenyekiti hata bila kupitia sanduku la kura? Au ndio modern trend kutoka bandari ya Antwerp Belgium?
Kama mambo yamefikia hapo turudi kwenye chama.Mahakama ipi? Kesi wapi? Ushahidi uletewe hapo ghetto kwa wenje? au uletewe gheto kwa mfalume Mbowe ?
Lakini mkuu hakuna familia isiyokuwa na matatizo.Vivyo hivyo vyama vingine na CCM ikiwemo wanazo changamoto kama za Chadema.Hakuna nguvu ya kutumika bali Mbowe mwenyewe ndiyo aliyataka haya kwani walikubaliana na Lisu kila mmoja agombee nafasi yake lakini mbowe akamgeuka Lisu kwa kumchomeka Wenje kienyeji na pia kumtuma aende nyumbani kwa Lisu kumpelekea pesa wapate kumshusha kumteketeza kisiasa, ubaya ubwela wa mbowe ulipobainika ndipo lisu akaamua kugombea uenyekiti ili asafishe Uozo wa mbowe ikiwemo wizi wa pesa za chama Rushwa ya ngono kwa viti maalum
Yes yupo siku hizi mkuu?Samson Mwigamba!