Ezekiel Wenje: Lema ndiye aliongoza kumshughulikia Zitto Kabwe mpaka kuondoka CHADEMA

Zitto kashasema wazi kabisa kwamba Lissu na Lema ndiyo walimkaanga, si viongozi wazuri hawanaga subira na ustahamilivu.
 
Huyu mtu sijui kwa nini hachoki. Hakubaliki na mtu yoyote ila yumo tu. Anayemtuma anajitekenya na kucheka mwenyewe. Mtu wenu hana mvuto wa kusikilizwa, hana ushawishi, kwa sura tu anaonekana ni msanii aliyejaa rushwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…