Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Gear status: overdrive!Wakuu,
Mambo yamezidi kupamba moto CHADEMA.
Kwenye Press conference ya leo amesema kuwa Lema na Lissu walikuwa wanapanga kufanya mapinduzi ndani ya CHADEMA wakati Mbowe yuko gerezani na kwamba yeye ni team Mbowe kwa sababu alikataa kuwa muasi ya mapinduzi hayo.
Yaani Wenje ameamua kwenda DEFCON 3 kabisa
View attachment 3203415
Halaf mbowe huyo huyo akaenda kwa watesi wale wale?Wakuu,
Mambo yamezidi kupamba moto CHADEMA.
Kwenye Press conference ya leo amesema kuwa Lema na Lissu walikuwa wanapanga kufanya mapinduzi ndani ya CHADEMA wakati Mbowe yuko gerezani na kwamba yeye ni team Mbowe kwa sababu alikataa kuwa muasi ya mapinduzi hayo.
Yaani Wenje ameamua kwenda DEFCON 3 kabisa
View attachment 3203415
Kuhusu kukaa kimya, alishasema kwenye ile press yake ya kwanza kwamba kiongozi lazima awe na kifua cha uvumilivu na subra.Kikubwa awe na ushahidi tu, kwanini alikaa kimya miaka yote kwa huo uhalifu wa kivita
kapiga nyagi huyo km bosi wake FAMWakuu,
Mambo yamezidi kupamba moto CHADEMA.
Kwenye Press conference ya leo amesema kuwa Lema na Lissu walikuwa wanapanga kufanya mapinduzi ndani ya CHADEMA wakati Mbowe yuko gerezani na kwamba yeye ni team Mbowe kwa sababu alikataa kuwa muasi ya mapinduzi hayo.
Yaani Wenje ameamua kwenda DEFCON 3 kabisa
View attachment 3203415
Wakwanza kuamini sakata zima ni mimi kwasababu niliambiwa sikuamni wakati huo.Nani atamuamini mtu aliyehongwa mabulungutu na Abduli.
Kila upandacho unavunaHivi mnakumbuka sababu za Zitto Kabwe kufukuzwa Chadema???
Yanaenda kumkuta Lissu japo na yeye alichangia
Ni Haki yako ngoja na Lema apande hewani hapo kesho azijibu hizi hoja.Wakwanza kuamini sakata zima ni mimi kwasababu niliambiwa sikuamni wakati huo.
Leo Wenje kathibitisha pasipo shaka mchongo mzima.
Noo,sio Kwa mujibu wa lema, Lema alinukuu Kwa mujibu wa Born yaiMwambieni tunawataka hawa waasi na sio walamba asali wakiongozwa na Mwamba wa Zimbabwe pamoja na yeye dalali a.k.a project ya serikali kwa mujibu wa Nabii Lema
Mpango alamu ndio nini? Eti umesoma chuo kikuu halafu unalalamikia kukosa ajira!Viongozi hao wako tayari kuvujisha mpango huo alamu stay tuned
Nilidhani ni neno la kiingereza ambalo silifahamu.Mpango alamu ndio nini? Eti umesoma chuo kikuu halafu unalalamikia kukosa ajira!
Hao ndiyo team Mbowe sasa. Anatembea kwenye uzushi wa dalali Wenje.Mpango alamu ndio nini? Eti umesoma chuo kikuu halafu unalalamikia kukosa ajira!
TL ashikilieer hapo hapo....hata walitengeneza sauti haitasaidiaaa lakuvunda.....watengeneze sauti hata za uhaini kama limevunda.......Pamoja na mbowe kushika shika Damu za Lissu akiwa mahututi Tanzania mpaka Nairobi, kama haitoshi kumsafisha safisha akiwa amelazwa hosptalini Nairobi mpaka kumfikisha Ubelgiji Bado hakuwai kufikiria Tundu Lissu yakuwa atakufa na kuwauzia wasimchague hasiwe Makamu Mwenyekiti .
Lakini uwezi amini ndugu msimaji baada ya mbowe kupewa kesi ya MCHONGO Lissu,Lema Msigwa ma Heche walikaaa CHINI kumjadiri mbowe jinsi ya kumwondoa kwenye nafasi ya uhenyekiti,
Swali huu ni ubinadamu?
Kwa kuwa viongozi wa dini waliomfata mbowe gerezani kumwambia yakuwa Rais anamwachia baada Yao viongozi kunasa mawasiliano ya viongozi tanwa hapo wakipanga njama za kumuujumu na kwa kuwa Rais Samia hataki chadema ife, anamwachia mbowe akaijenge chadema na hahakikishe mamluki wameondolewa
Viongozi hao wako tayari kuvujisha mpango huo alamu stay tuned
Nani ataamini huo uzushi wenu tena mwenzako Wenje kavuliwa nguo mchana kweupe jana . Hivi kama yule askari pale anaweza kushushwa pale Askari monument na kuanza kufanya patrol nini kinashindikana kwa nyakati hizi za teknolojia na AI. Bakini na maujinga yenu watu wameshaamua wanataka mabadiliko.Yaani kila Siri inatoka
Kumbe wale watengeneza sauti wa michongo wako team Lissu?