Ezekiel Wenje: Peter Msigwa na Lissu walipanga kufanya mapinduzi kipindi Mbowe yuko gerezani. Mimi nilikataa kuwa muasi

Ezekiel Wenje: Peter Msigwa na Lissu walipanga kufanya mapinduzi kipindi Mbowe yuko gerezani. Mimi nilikataa kuwa muasi

Wakuu,

Mambo yamezidi kupamba moto CHADEMA.

Kwenye Press conference ya leo amesema kuwa Lema na Lissu walikuwa wanapanga kufanya mapinduzi ndani ya CHADEMA wakati Mbowe yuko gerezani na kwamba yeye ni team Mbowe kwa sababu alikataa kuwa muasi ya mapinduzi hayo.

Yaani Wenje ameamua kwenda DEFCON 3 kabisa

View attachment 3203415
Gear status: overdrive!
 
Halaf mbowe huyo huyo akaenda kwa watesi wale wale?
 
Kikubwa awe na ushahidi tu, kwanini alikaa kimya miaka yote kwa huo uhalifu wa kivita
Kuhusu kukaa kimya, alishasema kwenye ile press yake ya kwanza kwamba kiongozi lazima awe na kifua cha uvumilivu na subra.

Lakini hapohapo akadai hiyo kanuni haiaplai kwa TAL, pale alipomshangaa kutoibua suala la pesa za Abduli hadi miezi 7 baadaye!

Naungana na Numbisa kushangaa: Asee! Duh!
 
Nasubiri mabingwa wa siasa za uadui wapewe kiti,hapa wanaongea sana,natamani kura ziwe nyingi kwa Lisu,ila baada ya miezi miwili ya visasi watamtafuta baba yao.
 
Kadri maneno yanvyoendelea namuona Mbowe akiendelea kuwa Chairman na watu hawataamini
 
Wakuu,

Mambo yamezidi kupamba moto CHADEMA.

Kwenye Press conference ya leo amesema kuwa Lema na Lissu walikuwa wanapanga kufanya mapinduzi ndani ya CHADEMA wakati Mbowe yuko gerezani na kwamba yeye ni team Mbowe kwa sababu alikataa kuwa muasi ya mapinduzi hayo.

Yaani Wenje ameamua kwenda DEFCON 3 kabisa

View attachment 3203415
kapiga nyagi huyo km bosi wake FAM
 
Wakwanza kuamini sakata zima ni mimi kwasababu niliambiwa sikuamni wakati huo.
Leo Wenje kathibitisha pasipo shaka mchongo mzima.
Ni Haki yako ngoja na Lema apande hewani hapo kesho azijibu hizi hoja.
 
Mwambieni tunawataka hawa waasi na sio walamba asali wakiongozwa na Mwamba wa Zimbabwe pamoja na yeye dalali a.k.a project ya serikali kwa mujibu wa Nabii Lema
Noo,sio Kwa mujibu wa lema, Lema alinukuu Kwa mujibu wa Born yai
 
Magufuli angekua hai angecheka kuliko kicheko chenyewe😂😂😂😂😂 mambo yanajioa huku wanatoleana siri. Tuliwaambia sisi, hawa wanajiteka wenyewe wanasema ni ccm
Kiko wapi sasa
 
Pamoja na mbowe kushika shika Damu za Lissu akiwa mahututi Tanzania mpaka Nairobi, kama haitoshi kumsafisha safisha akiwa amelazwa hosptalini Nairobi mpaka kumfikisha Ubelgiji Bado hakuwai kufikiria Tundu Lissu yakuwa atakufa na kuwauzia wasimchague hasiwe Makamu Mwenyekiti .

Lakini uwezi amini ndugu msimaji baada ya mbowe kupewa kesi ya MCHONGO Lissu,Lema Msigwa ma Heche walikaaa CHINI kumjadiri mbowe jinsi ya kumwondoa kwenye nafasi ya uhenyekiti,

Swali huu ni ubinadamu?

Kwa kuwa viongozi wa dini waliomfata mbowe gerezani kumwambia yakuwa Rais anamwachia baada Yao viongozi kunasa mawasiliano ya viongozi tanwa hapo wakipanga njama za kumuujumu na kwa kuwa Rais Samia hataki chadema ife, anamwachia mbowe akaijenge chadema na hahakikishe mamluki wameondolewa

Viongozi hao wako tayari kuvujisha mpango huo alamu stay tuned
 
Yaani kila Siri inatoka

Kumbe wale watengeneza sauti wa michongo wako team Lissu?
 
TL ashikilieer hapo hapo....hata walitengeneza sauti haitasaidiaaa lakuvunda.....watengeneze sauti hata za uhaini kama limevunda.......
 
Yaani kila Siri inatoka

Kumbe wale watengeneza sauti wa michongo wako team Lissu?
Nani ataamini huo uzushi wenu tena mwenzako Wenje kavuliwa nguo mchana kweupe jana . Hivi kama yule askari pale anaweza kushushwa pale Askari monument na kuanza kufanya patrol nini kinashindikana kwa nyakati hizi za teknolojia na AI. Bakini na maujinga yenu watu wameshaamua wanataka mabadiliko.
 
CHADEMA siyo chama tena siku hizi bali imebaki kuwa ni genge la wahuni tu. Siamini kuwa CHADEMA itapata hata mbunge mmoja wa kuchaguliwa kwenye bunge lijalo. Mwaka 2020 walihjifariji kwa visingiziuo kuwa Jiwe alivuruga uchagizi; sasa ngoja tuone matokeo yajayo ambapi jiwe alishaondoka miaka takribani miitano iliyopita.
 
Back
Top Bottom