Ezekiel Wenje: Peter Msigwa na Lissu walipanga kufanya mapinduzi kipindi Mbowe yuko gerezani. Mimi nilikataa kuwa muasi

Pumba tupu.
Awamu hii kila uzushi wenu utafeli vibaya. Mlizoea kuishi kwa uzushi na majungu ili tu mbowe aendelee kuwa mwenyekiti lakini awamu hii nyakati zimemkataa
 
Mfumo wote wanajitapikia sasa.

Seems mfumo unapanga matukio kisha wanawatuma vimbwenelehi vyao mitandaoni kama hivi
 
Kusoma habari za mtu hawezi kuandika kiswahili kuna bore sana.
 
Sauti za kutengenezwa
Kumbukeni ya Rwakatare
 
Hivi shule ulienda kusomea ujinga? Aibu kubwa hii.
 
Jifunze kuandika vizuri kwanza ndio urudi tena
 
Mwaka huu Mmachame wamemkalia kooni
 
Imekua rahisi sana kuwachefua

No spine
 
itapata sana, mbona Trump pamoja na tuhuma nyingi alizotuhumiwa amepata Uraisi?
 
binafsi, hata ingekuwaje, sioni kosa kama yeyote chadema angepanga kumwondoa DJ kwenye uenyekiti, ni kwa maslahi ya chadema na nchi kabisa. hana uwezo tena kuendelea, amekuwa legelege sana, na hana faida. yapaswa wapongezwe, na hayo unayoyasema yanawapaisha zaidi hao jamaa maana jamii itawaona walikuwa na lengo jema na walishaanza kufanya makubwa kitambo.
 
Wenje moja ya kiongozi wa hovyo sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…