GUSA ACHIA BAHASHA GOLI
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 5,110
- 7,349
hayo magoli aliyofunga huyo fredy huko Zambia mmeyaona au na nyie mmeambiwa tu kama mlivyoambiwaga Pablo ni kocha amewahi kuifundisha Madrid?
Wewe unachuki zako na saido sio bure.Muda mwingine upi, mi naona muda wote
Ugumu wa ligi ya Tz na Zambia hauna tofauti sanaLigi ya Tanzania ngumu sana.
Rahisi sana huoni jini mayele ufungaji wake umekuwa hafifu huko misri analalamika kutupiwa majiniLigi ya Tanzania ngumu sana.
Bado nini huoni pira biriani
UNAANGALIA MPIRA AU UNASIKILIZA KWENYE REDIO?!BENCHIKA bado hujanishawishi..timu ndogo hivi JKT umeshindwa kuonyesha ukubwa...? Poor attacking..
Unavyoona uwanja unaruhusu kuonyesha huo ukubwa mkuu? (mimi sijapata nafasi ya kuangalia mechi)BENCHIKA bado hujanishawishi..timu ndogo hivi JKT umeshindwa kuonyesha ukubwa...? Poor attacking..
0-1Vizuri kuleni na Wenzenu....Ngapi ngapi?
Mbona mmeuchuna...