F T: JKT Tanzania FC 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Isamuhyo Stadium | 15.02.2024

F T: JKT Tanzania FC 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Isamuhyo Stadium | 15.02.2024

Hii game ikitoka sare lazima Yanha tuje kujaa hapa.

Ila Simba nilikua nawavulia kofia jinsi walivyo active mitandaoni, lakini siku hizi naona ile speed yso haipo tena, wanachungilia zaidi kuliko kushiriki. Hata spirit waliyo mayo hivi sasa ni sababu ya Benchika tu ma si vinginevyo.
 
Saudo anatoka

Chama anatoka

Pa Omary anaingia

Israh anaingia

Dakika 6 zimeongezwa
 
BENCHIKA bado hujanishawishi..timu ndogo hivi JKT umeshindwa kuonyesha ukubwa...? Poor attacking..
 
Back
Top Bottom