Match Day!
View attachment 2904770
View attachment 2904771
JKT Tanzania, Wanaialika Simba SC leo kwenye uwanja wa Mej. General
Isamuhyo, -Mbweni Dar es Salaam.
Mechi itachezwa Majira ya Saa 10:00 Jioni.
Jkt wanaingia kwenye huu mchezo wa kukamilisha Mzunguko wa kwanza wakiwa na Points 16. Nafasi ya 12. Wameshinda Michezo 4, Wametoka Sare mara 4 na Wamepoteza Michezo 6.
Simba wako Nafasi ya Pili wakiwa na points 33.
Mchezo huu ni muhimu sana kwa Simba kushinda ili kuweza kukamilisha mzunguko wa kwanza akiwa na points 36, tofauti ya Point 4 na anayeongoza ligi.
KIKOSI CHA JKT-TANZANIA KINACHOANZA.
View attachment 2905032
KIKOSI CHA SIMBA KINACHOANZA LEO.
View attachment 2905033
All the Best Mnyama....
#nguvumoja#.