OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Kocha yupo kama kapigwa ganzi timu inachezewa nusu uwanja. Beki inageuzwa kama chapati. Hapo kuna DM 3Hii Simba kusema kweli.... ila muhimu tushinde tu.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Alifungaje goli 16 Zambia? Mbona anarukaruka tuFreddy ameanza kunipa wasiwasi kama simuelewi hivi lakini ngoja niendelee kumuangalia
Kuna wachezaji wanatakiwa kupumzishwa Simba, tusidanganyike kwa ukongwe wao, pumzi zimeshakata na wapinzani wameshawazoeaKocha yupo kama kapigwa ganzi timu inachezewa nusu uwanja. Beki inageuzwa kama chapati. Hapo kuna DM 3
Hao wanalazimsha kuchana mkeka wakoKwani ni kipi kimetokea?View attachment 2905063
71Kwani ni dakika ya Ngapi sSa hivi
Nashindwa kushangaa aisee Ayoub anatushikia tu hii mechiAlifungaje goli 16 Zambia? Mbona anarukaruka tu