F T: JKT Tanzania FC 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Isamuhyo Stadium | 15.02.2024

F T: JKT Tanzania FC 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Isamuhyo Stadium | 15.02.2024

Refa kachezesha fair sana tofauti na vibwengo walivyokuwa wakilalamika

Sana sana labda tumlaumu kwa kushindwa kutoa kadi kwenye matukio ya faulo mbaya zilizochezwa na JKT

Simba inapitia mapito magumu sana kwenye mechi zake tofauti na timu zingine.

Hiyo ni kwasababu hata wachezaji wa timu zingine wanaona hiyo ndio fursa ya kuji brand kupitia ukubwa wa Simba.

Nilichoona kwa mechi za viwanja kama hivi tusitegemee mpira mzuri cha msingi tuweke focus kwenye alama 3.

Point 36 kwa mzunguko wa 1 sio mbaya bado muda upo upande wetu muhimu wachezaji wapambane tu.
 
Hivi hawa JKT ndio wale wa Ruvu? I mean Ruvu JKT?

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Awa ni JKT Tanzania, Huu uwanja ni mkubwa Sana na Simba walikata upepo mapema.
Uu ni uwanja mkubwa Sana unataka timu zenye mapafu kama Yanga.
Kama Yanga atachezea uwanja uu mtu anaweza kupigwa zaidi ya goli Tano.
 
Back
Top Bottom