F T: JKT Tanzania FC 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Isamuhyo Stadium | 15.02.2024

F T: JKT Tanzania FC 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Isamuhyo Stadium | 15.02.2024

Awa ni JKT Tanzania, Huu uwanja ni mkubwa Sana na Simba walikata upepo mapema.
Uu ni uwanja mkubwa Sana unataka timu zenye mapafu kama Yanga.
Kama Yanga atachezea uwanja uu mtu anaweza kupigwa zaidi ya goli Tano.
Hata round ya kwanza alipigwa hizo tano
 
Wale wenye mchezaji wa kizenji anaefunga kuanzia dkk ya 85 na kuendelea kwa msaada wa Majini.... majini FC mlibwanjii...
😂 😂 🐸 🐸 🐸 🐸 🐸 🐸 🐸 😂 😂 😂 😂
Kila la heri Mnyama mkali...
Nguvu moja
Tulibwino kaya anjatu😁😁😁
 
Kwa jicho langu...CHAMA ameibeba timu hizi mechi 3 ugenini...
Ni bora kumpa mshahara wa kutosha kuliko kusajili akina FRED 2..
 
Awa ni JKT Tanzania, Huu uwanja ni mkubwa Sana na Simba walikata upepo mapema.
Uu ni uwanja mkubwa Sana unataka timu zenye mapafu kama Yanga.
Kama Yanga atachezea uwanja uu mtu anaweza kupigwa zaidi ya goli Tano.
.
JamiiForums592774928.jpg
JamiiForums1381953234.jpg
 
Back
Top Bottom