Fabrizio Romano azitambulisha jezi mpya za Kimataifa za Yanga. Hakika Yanga ni kubwa sanaaaa

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Klabu ya Yanga imezindua jezi mpya itakazotumia katika msimu wa 2026/27, huku uzinduzi huo ukipewa uzito wa kipekee baada ya kufanywa na mwandishi maarufu wa habari za usajili duniani, Fabrizio Romano.

Hatua hiyo imeongeza mvuto wa uzinduzi wa jezi hizo, ambazo Yanga itazitumia katika mashindano ya kimataifa. Kwa Wananchi, kuhusishwa kwa jina kubwa kama Fabrizo Romano katika uzinduzi huo ni ishara nyingine ya namna Yanga inavyoendelea kujijenga kama brand kubwa nje ya mipaka ya Tanzania

Vikombe vya kimataifa ndo muhimu zaidi, hata zingezinduliwa na trump bila makombe ni hewa tu, hii inajumuisha na Simba pia, zijiboreshe kuwa competitive team kimataifa na siyo hapa nyumbani tu
Hua nazishangaa sana hizi klabu zetu mbili Kurwa na Doto. Wangeweka umuhimu mkubwa katika ubora wa vikosi vyao na kuzifanya ziwe na uwezo wa kushinda makombe ya Afrika, hata biashara zao nyingine zingeimarika na kuingiza mapato zaidi maana wangepandisha hadhi na thamani ya brand zao, wangeongeza fan base, wau kujaa viwanjani nk
 
Klabu ya Yanga imezindua jezi mpya itakazotumia katika msimu wa 2026/27, huku uzinduzi huo ukipewa uzito wa kipekee baada ya kufanywa na mwandishi maarufu wa habari za usajili duniani, Fabrizio Romano.

Hatua hiyo imeongeza mvuto wa uzinduzi wa jezi hizo, ambazo Yanga itazitumia katika mashindano ya kimataifa. Kwa Wananchi, kuhusishwa kwa jina kubwa kama Fabrizo Romano katika uzinduzi huo ni ishara nyingine ya namna Yanga inavyoendelea kujijenga kama brand kubwa nje ya mipaka ya Tanzania

View attachment 3662255
 
Timu za CCM
 
Simba walifanya hivi 2020 kwa pique nyie miaka 6 mbele ndo mnawaza ubunifu huu

Simba kwanza utopolo baadae
 
Klabu ya Yanga imezindua jezi mpya itakazotumia katika msimu wa 2026/27, huku uzinduzi huo ukipewa uzito wa kipekee baada ya kufanywa na mwandishi maarufu wa habari za usajili duniani, Fabrizio Romano.

Hatua hiyo imeongeza mvuto wa uzinduzi wa jezi hizo, ambazo Yanga itazitumia katika mashindano ya kimataifa. Kwa Wananchi, kuhusishwa kwa jina kubwa kama Fabrizo Romano katika uzinduzi huo ni ishara nyingine ya namna Yanga inavyoendelea kujijenga kama brand kubwa nje ya mipaka ya Tanzania

View attachment 3662255
Inabidi GSM atugawie jezi bure sisi wazee wa dezodezo
 
Hua nazishangaa sana hizi klabu zetu mbili Kurwa na Doto. Wangeweka umuhimu mkubwa katika ubora wa vikosi vyao na kuzifanya ziwe na uwezo wa kushinda makombe ya Afrika, hata biashara zao nyingine zingeimarika na kuingiza mapato zaidi maana wangepandisha hadhi na thamani ya brand zao, wangeongeza fan base, wau kujaa viwanjani nk
Nenda kagombee wewe uongozi kwenye hiyo vilabu utuonyeshe jinsi ilivyo rahisi kuchukua hayo makombe ya CAF. Bajeti za al ahly, mamelod sundowns, pyramids n.k unazijua?
 
Back
Top Bottom