Rodwell mTZ
JF-Expert Member
- Nov 16, 2012
- 1,594
- 1,806
Hiyo timu unaiona ni kubwa ni kubwa kwako sababu umeiweka mioyoni mwako,hiyo ni timu ya kawaida sana ina haki sawa na timu zingine zinazocheza premier league ya TZ.
Kushinda Ubingwa wa CAF kunahitaji UWEKEZAJI, yaani HELA. Hakuna mtu anayeweza kuwekeza kwenye timu yenye poor marketing. Jiuze katika soko kubwa upate wawekezaji wakubwa, wakupe timu Bora ili ushinde Mataji makubwa.Hua nazishangaa sana hizi klabu zetu mbili Kurwa na Doto. Wangeweka umuhimu mkubwa katika ubora wa vikosi vyao na kuzifanya ziwe na uwezo wa kushinda makombe ya Afrika, hata biashara zao nyingine zingeimarika na kuingiza mapato zaidi maana wangepandisha hadhi na thamani ya brand zao, wangeongeza fan base, wau kujaa viwanjani nk
Kumbuka Yanga na Simba kwa uwekezaji wao huohuo wa kuungaunga walikaribia kutwaa kombe la shirikisho la CAF kila moja kwa wakati wakeKushinda Ubingwa wa CAF kunahitaji UWEKEZAJI, yaani HELA. Hakuna mtu anayeweza kuwekeza kwenye timu yenye poor marketing. Jiuze katika soko kubwa upate wawekezaji wakubwa, wakupe timu Bora ili ushinde Mataji makubwa.
Yanga kwa level ya Uwekezaji wake imeunda timu Bora msimu huu, kadiri ya Uwekezaji unavyokua ndivyo ubora utakavyopanda.
Usajili wa mwaka huu kwa Yanga umeonesha thamani halisi kidogo ya Uwekezaji nadhani, hii inatia moyo kuwa, Uwekezaji wao ukikua unaweza kuleta mabafiliko makubwa zaidi kwenye ubora wa kikosi.Kumbuka Yanga na Simba kwa uwekezaji wao huohuo wa kuungaunga walikaribia kutwaa kombe la shirikisho la CAF kila moja kwa wakati wake
Hata hizo robo fainali za CAFCL hawakua wanatolewa kwa aibu. Kulikua nafasi 50/50 kati yao na wapinzani wao za kusonga mbele ila bahati haikua yao
Pesa wanazotumia kusajili rundo la wachezaji hasa kutoka nje ya nchi ambao wengine viwango vyao ni vya kawaida sana wangezitumia kusajili wachezaji wachache wa level juu
Pamoja na kukubaliana nawe kuhusu kufanyika kwa proper marketing(fan base zao ni kubwa sana), matokeo ya uwanjani yanarahisiha mambo mengi kama hilo la kuvutia wawekezaji
Vichwa vinavyo ongoza club hizi ni vile vya CCM ukitaka ufafanuzi njoo taratibu nikuchambulie ueleweHua nazishangaa sana hizi klabu zetu mbili Kurwa na Doto. Wangeweka umuhimu mkubwa katika ubora wa vikosi vyao na kuzifanya ziwe na uwezo wa kushinda makombe ya Afrika, hata biashara zao nyingine zingeimarika na kuingiza mapato zaidi maana wangepandisha hadhi na thamani ya brand zao, wangeongeza fan base, wau kujaa viwanjani nk
Hebu tuchambulie kidogo hapo MkuuVichwa vinavyo ongoza club hizi ni vile vya CCM ukitaka ufafanuzi njoo taratibu nikuchambulie uelewe
Jezi ya kimataifa haina logo ya CAF uto ni wajinga sanaKlabu ya Yanga imezindua jezi mpya itakazotumia katika msimu wa 2026/27, huku uzinduzi huo ukipewa uzito wa kipekee baada ya kufanywa na mwandishi maarufu wa habari za usajili duniani, Fabrizio Romano.
Hatua hiyo imeongeza mvuto wa uzinduzi wa jezi hizo, ambazo Yanga itazitumia katika mashindano ya kimataifa. Kwa Wananchi, kuhusishwa kwa jina kubwa kama Fabrizo Romano katika uzinduzi huo ni ishara nyingine ya namna Yanga inavyoendelea kujijenga kama brand kubwa nje ya mipaka ya Tanzania
View attachment 3662255
Bora umemueleza ukweliNenda kagombee wewe uongozi kwenye hiyo vilabu utuonyeshe jinsi ilivyo rahisi kuchukua hayo makombe ya CAF. Bajeti za al ahly, mamelod sundowns, pyramids n.k unazijua?
Ligi ya tanzania bado haiwavutii wachezaji wa level za juu, bado simba na yanga hazina uwezo wa kupambana na timu kama al ahly, pyramids, mamelodi kiuchumiKumbuka Yanga na Simba kwa uwekezaji wao huohuo wa kuungaunga walikaribia kutwaa kombe la shirikisho la CAF kila moja kwa wakati wake
Hata hizo robo fainali za CAFCL hawakua wanatolewa kwa aibu. Kulikua nafasi 50/50 kati yao na wapinzani wao za kusonga mbele ila bahati haikua yao
Pesa wanazotumia kusajili rundo la wachezaji hasa kutoka nje ya nchi ambao wengine viwango vyao ni vya kawaida sana wangezitumia kusajili wachezaji wachache wa level juu
Pamoja na kukubaliana nawe kuhusu kufanyika kwa proper marketing(fan base zao ni kubwa sana), matokeo ya uwanjani yanarahisiha mambo mengi kama hilo la kuvutia wawekezaji