Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Hua nazishangaa sana hizi klabu zetu mbili Kurwa na Doto. Wangeweka umuhimu mkubwa katika ubora wa vikosi vyao na kuzifanya ziwe na uwezo wa kushinda makombe ya Afrika, hata biashara zao nyingine zingeimarika na kuingiza mapato zaidi maana wangepandisha hadhi na thamani ya brand zao, wangeongeza fan base, wau kujaa viwanjani nkVikombe vya kimataifa ndo muhimu zaidi, hata zingezinduliwa na trump bila makombe ni hewa tu, hii inajumuisha na Simba pia, zijiboreshe kuwa competitive team kimataifa na siyo hapa nyumbani tu
Ndugu yangu sijui umri wako lakini naamini kwa umri wangu naweza kua kaka yako mkubwa kama sio baba yakoMkuu kama inauma sana chomoa kidogo upumue kwanza.!
Inaonekana iyo habari imekusikitisha sana..
Klabu ya Yanga imezindua jezi mpya itakazotumia katika msimu wa 2026/27, huku uzinduzi huo ukipewa uzito wa kipekee baada ya kufanywa na mwandishi maarufu wa habari za usajili duniani, Fabrizio Romano.
Hatua hiyo imeongeza mvuto wa uzinduzi wa jezi hizo, ambazo Yanga itazitumia katika mashindano ya kimataifa. Kwa Wananchi, kuhusishwa kwa jina kubwa kama Fabrizo Romano katika uzinduzi huo ni ishara nyingine ya namna Yanga inavyoendelea kujijenga kama brand kubwa nje ya mipaka ya Tanzania
View attachment 3662255
Nisamehe mkuu,niliandika kwa njia ya utani wa jadi mkuu wangu .!Ndugu yangu sijui umri wako lakini naamini kwa umri wangu naweza kua kaka yako mkubwa kama sio baba yako
Hukua na sababu ya kutumia lugha ya kuudhi dhidi yangu. Mbona uzi upo decent tu. Nimekwazika
Hii ni next level ya marketing.
Timu za CCMHua nazishangaa sana hizi klabu zetu mbili Kurwa na Doto. Wangeweka umuhimu mkubwa katika ubora wa vikosi vyao na kuzifanya ziwe na uwezo wa kushinda makombe ya Afrika, hata biashara zao nyingine zingeimarika na kuingiza mapato zaidi maana wangepandisha hadhi na thamani ya brand zao, wangeongeza fan base, wau kujaa viwanjani nk
Mkuu jaribu kuwavumilia baadhi ya wana JF kwa sababu humu wote atulingani.Ndugu yangu sijui umri wako lakini naamini kwa umri wangu naweza kua kaka yako mkubwa kama sio baba yako
Hukua na sababu ya kutumia lugha ya kuudhi dhidi yangu. Mbona uzi upo decent tu. Nimekwazika
Huu ndio uungwana sasaNisamehe mkuu,niliandika kwa njia ya utani wa jadi mkuu wangu .!
Samahani sana mkuu..
Yamekwisha mkuuNisamehe mkuu,niliandika kwa njia ya utani wa jadi mkuu wangu .!
Samahani sana mkuu..
Inabidi GSM atugawie jezi bure sisi wazee wa dezodezoKlabu ya Yanga imezindua jezi mpya itakazotumia katika msimu wa 2026/27, huku uzinduzi huo ukipewa uzito wa kipekee baada ya kufanywa na mwandishi maarufu wa habari za usajili duniani, Fabrizio Romano.
Hatua hiyo imeongeza mvuto wa uzinduzi wa jezi hizo, ambazo Yanga itazitumia katika mashindano ya kimataifa. Kwa Wananchi, kuhusishwa kwa jina kubwa kama Fabrizo Romano katika uzinduzi huo ni ishara nyingine ya namna Yanga inavyoendelea kujijenga kama brand kubwa nje ya mipaka ya Tanzania
View attachment 3662255
Nenda kagombee wewe uongozi kwenye hiyo vilabu utuonyeshe jinsi ilivyo rahisi kuchukua hayo makombe ya CAF. Bajeti za al ahly, mamelod sundowns, pyramids n.k unazijua?Hua nazishangaa sana hizi klabu zetu mbili Kurwa na Doto. Wangeweka umuhimu mkubwa katika ubora wa vikosi vyao na kuzifanya ziwe na uwezo wa kushinda makombe ya Afrika, hata biashara zao nyingine zingeimarika na kuingiza mapato zaidi maana wangepandisha hadhi na thamani ya brand zao, wangeongeza fan base, wau kujaa viwanjani nk