Gangi Longa
JF-Expert Member
- Feb 5, 2010
- 275
- 135
Kha jamani naye ni binadamu na anaendana na teknolojia! Yuko karibu na watu yaani in social network tatizo lako nini? au unataka uwe na rais ambaye hajui hata kutumia computer? uanze kulalama! Mi sioni tatizoNini haja Mhe. Rais kuwa kwenye Facebook ?..
Kha jamani naye ni binadamu na anaendana na teknolojia! Yuko karibu na watu yaani in social network tatizo lako nini? au unataka uwe na rais ambaye hajui hata kutumia computer? uanze kulalama! Mi sioni tatizo
funny OR fans!du ana watu 3,676 fans tu?????
funny OR fans!
It is not him who manages the page. I bet it is some mkereketwa or an Ikulu personel. It will be a joke if he logs in and updates his status.
Hata mimi nilitaka kushangaa but..according to my kid who is a facebook - guru at age 7! as he calls himself and happens to be Kikwete Fan on FB this is what he says:
"what you see is not a facebook profile but only a fan page!!! fan pages are not from the actual persons but from someone who is only a fan. this is what we call a POSER.....people can get deceived from such people."
by Junior...
It is not him who manages the page. I bet it is some mkereketwa or an Ikulu personel. It will be a joke if he logs in and updates his status.
Yawezekana ni hawa hapa:
CCM Online-Tujenge Nchi Yetu!!!!
Information
Category:Organisations - Political Organisations
group.php?gid=16510333457
AU
<H5 class="box_header UITitle UITitle_h5">Information</H5>Category:Common Interest - Beliefs & Causes Description:IMANI YA CHAMA
Binadamu wote ni Sawa
Kila mtu anastahili heshima ya kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake
Ujamaa na kujitegemea ndiyo njia pekee ya kujenga jamii ya watu walio sawa na huru
AHADI ZA WANACHAMA WA CHAMA CHA MAPINDUZI
(1) Binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja
(2) Nitaitumikia nchi yangu na watu wake wote
(3) Nitajitolera nafsi yangu kuondosha umaskini, ujinga, magonjwa na dhuluma.
(4) Rushwa ni adui wa haki, sitapokea wala kutoa rushwa.
(5) Cheo ni dhamana, sitatumia cheo changu wala cha mtu mwingine kwa faida yangu.
(6) Nitajielimisha kwa kadri ya uwezo wangu na kuitumia elimu yangu kwa faida ya wote.
(7) Nitashjirikiana na wenzangu wote kujenga nchi yetu.
(8) Nitasema kweli daima, fitina kwangu mwiko.
(9) Nitakuwa mwanachama mwaminifu wa CCM na raia mwema wa Tanzania na Afrika.
(read less)
IMANI YA CHAMA
Binadamu wote ni Sawa
Kila mtu anastahili heshima ya kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake
Ujamaa na kujitegemea ndiyo njia pekee ya kujenga jamii ya watu walio sawa na huru
AHADI ZA WANACHAMA WA CHAMA CHA MAPINDUZI
(1) Binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja
(2) Nitaitumikia nchi yangu na watu wake wote
(3) Nitajitolera nafsi yangu kuondosha umaskini, ujinga, magonjwa na dhuluma.
(4) Rushwa ni adui wa haki, sitapokea wala kutoa rushwa.
(5) Cheo ni dhamana, sitatumia... (read more)
Privacy type:
- Facebook ni mambo ya kisasa wakuu, kuna mawaziri wetu wengi tu, kuna marais wa mataifa mengine Africa ikiwemo, binafsi nipo kule na ni majuzi tu Rais Kabila amenikaribisha kwenye forums yake on ushauri wa maendeleo ya taifa lake, haya mambo ya teknology ni mambo ya kisasa haya, saafi sana kama Rais wetu naye yumo!
- Wakuu wengine tujiunge kule pia JF ipo kule, karibuni sana tuendeleze libeneke mpaka huko ma-facebook!
Respect.
FMEs!
mkuu....
una urafiki na marais wangapi???????
mkuu....
una urafiki na marais wangapi???????