Facebook: Sehemu pekee unapoweza kupata uhalisia wa watu

Fb nlishashindwa kuipenda ..nlishafungua akaunti nkaishia kujiondoa n app ile nkaifuta kabisa..hua kuna utoto mwingi sana huko
Basi wewe hujaona utoto wa instagram
 
Dah umenifanya nicheke [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Na ni mtandao japo watu wanaona wakishamba Ukiwa serious na biashara ya mtandao ni rahisi kupata wateja tofauti na mitandao mingine ya kijamii.
Sahihi kabisa,fb pana soko kubwa na la maana kuliko jf
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Huo ndo mtandao nilishashindwa kujiunga kabisa kwa story zake tu huwa sina hamu nao hata kujua unafanyaje kazi.
I was there lakini nikaona mambo yalojaa huko hayaelekei kuwajenga watu zaidi ya usanii usanii.
Nafikiri hizi social media wengi wanaitumia vibaya...niliondoka bila kuaga kule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…