Hahahaa kwamba hata hukuaga mtu! Ule mtandao sijawahi hata kufikiria kujiungaI was there lakini nikaona mambo yalojaa huko hayaelekei kuwajenga watu zaidi ya usanii usanii.
Nafikiri hizi social media wengi wanaitumia vibaya...niliondoka bila kuaga kule.
That's what I've been doingNisivyoipenda FB Hata App yake nimeng'oa,na kublock matangazo yote ya FB kwenye App zingine.Sitakagi ujinga mie......
Hahahaa ulinifanisha mie[emoji23]mbona kama nilikuona
Ni kweli...lakini hata kwenye uhalisia wengi mnawaalika watu wapeleke biashara usukumani.Na ni mtandao japo watu wanaona wakishamba Ukiwa serious na biashara ya mtandao ni rahisi kupata wateja tofauti na mitandao mingine ya kijamii.
Tena sana...a sort of childish.Fb nlishashindwa kuipenda ..nlishafungua akaunti nkaishia kujiondoa n app ile nkaifuta kabisa..hua kuna utoto mwingi sana huko
Nisaidieni na mie ili hata hapa jf nisiwe nayaona[emoji4]That's what I've been doing
Huko nako zaidi...naingia mara chache na mara nyingi huwa nafuta app yenyewe.Basi wewe hujaona utoto wa instagram
upo banaHahahaa ulinifanisha mie[emoji23]
LogicMkuu hapa imeongelewa FB nko ndani ya mada...ikiletwa maada ya IG ntachangia kwa namna yake pia...usku mwema
[emoji23]upo bana
Labda Mimi nlikua mgeni wa Fb ila siwez kulinganisha JF n FB ..JF ina wapuuzi wachache ila watu walio wengi wanajitambua tofaut na FB...n mtazamo wangukuna utoto zaidi ya huku JF kwenu mnakoandika mara papuchi mara kugegeda mara kibumbu
Ingekuwa vizuri kama kungekuwa hamna kipengele cha kufuta status na picha kama hapa JF ingependeza zaidi...JF ni ngumu watu ni anonymous! HAWAJULIKANI! Instagram ubishoo na showoff za kumwaga! Hakuna realistic.. Yaani hakuna ukweli... Badoo ni biashara ya umalaya ushoga na usagaji... Facebook pekee ndio tunaweza ita lango la mitandao yote.... Wageni wa mitandao huanzia Facebook.... Angalia background za picha zinabeba uhalisia, angalia aina ya lugha ni halisi.. Ndio aachojua hicho hakuna edition! Angalia picha zenyewe ni vituko tupu lakini hajafanya masahihisho yoyote kapost halisi
Tuna mada ya vituko vya Facebook.. Hii ni kwakuwa watu wana post uhalisia.. Ukiwa na muda wa kufuatilia mmoja mmoja utaona anavyobadilika kutoka kwenye uhalisia mpaka kwenye ulimwengu wa kudanganya uhalisia....
That's Facebook...!!! /utaona picha zitakazotumwa msimu huu wa sikukuu hasa kwa wale watumiaji wapya wa mitandao
Happy Christmas!!...mwaka mpya bado. .
Enhee hujui ukitaka kupiga hela dili na watu tabaka la chini.Ni kweli...lakini hata kwenye uhalisia wengi mnawaalika watu wapeleke biashara usukumani.
[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Sure...kule kila mtu yupo.Dakika kadhaa nimeinstall fb app nikafungua akaunti kule.Mara naona watu kibao...karibu kila mtu yupo,nikafuta app nikarudi zangu huku.Labda Mimi nlikua mgeni wa Fb ila siwez kulinganisha JF n FB ..JF ina wapuuzi wachache ila watu walio wengi wanajitambua tofaut na FB...n mtazamo wangu
Hapa sehemu salama...sana sana uamue kuwa vile wewe mwenyewe.Nisaidieni na mie ili hata hapa jf nisiwe nayaona[emoji4]
Wenzio wanafanya trial ya jina lako hata moja tu,kwa hiyo watamiminika wenye jina hilo.[emoji23]