JF ni ngumu watu ni anonymous! HAWAJULIKANI! Instagram ubishoo na showoff za kumwaga! Hakuna realistic.. Yaani hakuna ukweli... Badoo ni biashara ya umalaya ushoga na usagaji... Facebook pekee ndio tunaweza ita lango la mitandao yote.... Wageni wa mitandao huanzia Facebook.... Angalia background za picha zinabeba uhalisia, angalia aina ya lugha ni halisi.. Ndio aachojua hicho hakuna edition! Angalia picha zenyewe ni vituko tupu lakini hajafanya masahihisho yoyote kapost halisi
Tuna mada ya vituko vya Facebook.. Hii ni kwakuwa watu wana post uhalisia.. Ukiwa na muda wa kufuatilia mmoja mmoja utaona anavyobadilika kutoka kwenye uhalisia mpaka kwenye ulimwengu wa kudanganya uhalisia....
That's Facebook...!!! /utaona picha zitakazotumwa msimu huu wa sikukuu hasa kwa wale watumiaji wapya wa mitandao
Happy Christmas!!...mwaka mpya bado. .