Facebook: Sehemu pekee unapoweza kupata uhalisia wa watu

Unafanyaje?
hapana huwa sifanyi kingine zaidi ya mtu aliye ni join mwenyewe,naweza mfahamu uhalisia wa maishs yake hata kama sijawahi kutana nae,maana siku hizi fb ni sehemu ya mtu kuanika chochote kwake,sasa kama mtu anaweza ji post akiwa haja kubwa unashindwaje kujua huyu ni mtu w namna gani
 
Wengine tunapatia hela kupitia faceebook unampata mteja hadi wa kakonko,ikwiriri ndanindani kabisa halafu hawana madharau kama watu wa instagram mana mbwembwe nyingi kumbe wala vumbi tu.
 
[emoji47] [emoji47] [emoji47] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Wengine tunapatia hela kupitia faceebook unampata mteja hadi wa kakonko,ikwiriri ndanindani kabisa halafu hawana madharau kama watu wa instagram mana mbwembwe nyingi kumbe wala vumbi tu.
Kila kitu kina pande mbili hasi na chanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…