chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 13,277
- 40,924
Who is she by the way??? Ops he🙄Ombeni Maulana kwa sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Who is she by the way??? Ops he🙄Ombeni Maulana kwa sana
Tuko busy na kujenga taifa huyo zukabegi akija aripoti kwa balozi wa nyumba kumi na atoe maelezo ya kupromote ushoga kwanini?Makamanda mmevurugwa, mmechanganyikiwa hata hamjielewi...😀😀😀😀
Baada ya kula Jollofrice Nigeria,sasa anakula Ugali sato Nairobi,Mark ni mtu simple sana kwa kweli
HAHA HAHA HAHA..Tz ngojeni Janet Museveni atakuja na Bomba
That simple meal is what fuels our champions...
Tanzania bado tuko mbali sana. Naamini dual nationality inaweza kutufaidisha sana tutakapoamua kufanya hivyo wasomi wetu wanaokaa nje watarudi nyumbani kuwekeza technology waliopata huko ili na sisi tuendelee. Kwasasa wacha aishie huko Kenya.bado aje tanzania
Hahaha boss. Jokes on overloadTz ngojeni Janet Museveni atakuja na Bomba
maana yake nini hili nenondiposa
kufanya nini???
kuona BRT na Bomba non existent???
aje mahali kuna kazi tu
itabidi tuwajengee barabara zao maalum wakija watumie hizo pekeyao maana kila siku raiya tunazuliwa barabarani kwa madakika ilu mkubwa flani mgeni apiteHalafu amepata darasa kuhusu Mpesa maana Kenya ndio chimbuko la yote. Juzi tumekua wenyeweji wa marais 37 kwa mpigo, leo huyu, kesho sijui ataibuka nani, yaani kwa mwendo huu itabidi tuanze kuwazuia.
Zzzzzzzz! Absent.maana yake nini hili neno
"Ndiposa" = "Ndio maana"maana yake nini hili neno
Wakenya kiswahili chao ni cha kwenye Bible.maana yake nini hili neno