Facebook's Mark Zuckerberg makes surprise visit to Kenya

Facebook's Mark Zuckerberg makes surprise visit to Kenya

Makamanda mmevurugwa, mmechanganyikiwa hata hamjielewi...😀😀😀😀
Tuko busy na kujenga taifa huyo zukabegi akija aripoti kwa balozi wa nyumba kumi na atoe maelezo ya kupromote ushoga kwanini?
 
Baada ya kula Jollofrice Nigeria,sasa anakula Ugali sato Nairobi,Mark ni mtu simple sana kwa kweli
1472752717354.jpg
 
You have gotta love this guy, even if you never met him, yaani mjamaa ni no. 7 tajiri duniani lakini kavaa hoodie, simple T-shirt na sneakers na sioni bling zozote pale. Simple hadi kwa mlo, tizama anavyo "scoop" mboga. Afu anakuja darasa, hivi kunikumbusha funzo alonipa babu nikiwa sekondari: watu successful kwa desturi yao wanatafuta mapya kila uchao, hawatosheki na sasa hivi.
 
Wakati Kenya ameenda mmiliki wa facebook,Tanzania imetembelea na mmiliki wa stomachbook
 
bado aje tanzania
Tanzania bado tuko mbali sana. Naamini dual nationality inaweza kutufaidisha sana tutakapoamua kufanya hivyo wasomi wetu wanaokaa nje watarudi nyumbani kuwekeza technology waliopata huko ili na sisi tuendelee. Kwasasa wacha aishie huko Kenya.
 
Si tuna mamantilie kibao akija huku aonje pilau ..hamtamuona tena kwenu!
 
Halafu amepata darasa kuhusu Mpesa maana Kenya ndio chimbuko la yote. Juzi tumekua wenyeweji wa marais 37 kwa mpigo, leo huyu, kesho sijui ataibuka nani, yaani kwa mwendo huu itabidi tuanze kuwazuia.
itabidi tuwajengee barabara zao maalum wakija watumie hizo pekeyao maana kila siku raiya tunazuliwa barabarani kwa madakika ilu mkubwa flani mgeni apite
 
msijidharau sana Tz, kama Kenya haingekuweko ingekua nyinyi ndo mababe, rwanda iko sawa lakini hawako wengi, asilimia 20 yao ni asilimia nukta moja yenu,
 
Back
Top Bottom