Facebook's Mark Zuckerberg makes surprise visit to Kenya

Hahaha asa wakenya mnamidomo sana kwani ni lazima aje kwetu....alafu uyo anaesema subsaharn Africa ni Kenya na Nigeria wala hajui anachoongea.....mnann Kenya cha kuwazidi south Africa? Mnakitu gani cha kuzidi Angola? Wakenya acheni kuhara
 
tuna bidii na hulka hulka za kikenya
 
Halafu amepata darasa kuhusu Mpesa maana Kenya ndio chimbuko la yote. Juzi tumekua wenyeweji wa marais 37 kwa mpigo, leo huyu, kesho sijui ataibuka nani, yaani kwa mwendo huu itabidi tuanze kuwazuia.
Ni habari mbaya kwa TZ inamaanisha ma IT wetu wana safari ndefu sana
 
29282959562_267b227410_b.jpg

Zuckerberg in Lake Naivasha National park tour

MK254 Huyu demu mgani nimwemuona kila mahali na Zuckerberg?
 
Ngozi nyeusi shida sana, anyway huyu jamaa si ndo anapumuliwa [emoji44]
 
MK254 Huyu demu mgani nimwemuona kila mahali na Zuckerberg?

Damn am trying to remember her, but the whole Kenyan tech scene represented us well. I saw Juliana Rotich of Ihub with him, also Sam Gichuru of Nailab. Victor Kyalo wasn't left behind, he has rose through the ranks.
Yaani who is who in the scene. Pity am not in the country, such events provides great opportunity to network with major portfolios across the globe.
 
Baada ya kula Jollofrice Nigeria,sasa anakula Ugali sato Nairobi,Mark ni mtu simple sana kwa kweli

Huyu jamaa napenda sana usimplicity wake. Nadhani anakaa nyumba ya milioni sita huku marekani na mke wake mchina. Nyumba ya milioni sita is very modest for a BILLIONAIRE. Napenda sana mfano wake.
 
Hahaha asa wakenya mnamidomo sana kwani ni lazima aje kwetu....alafu uyo anaesema subsaharn Africa ni Kenya na Nigeria wala hajui anachoongea.....mnann Kenya cha kuwazidi south Africa? Mnakitu gani cha kuzidi Angola? Wakenya acheni kuhara
Eish! Budda, kwenye minzani ya technolojia, Angola apana karibia tako la Kenya, hio hapo ndio ishu.
Cheki hili hapa.....

answersafrica.com/top-10-most-technologically-advanced-countries-in-africa.html/2
 
Halafu amepata darasa kuhusu Mpesa maana Kenya ndio chimbuko la yote. Juzi tumekua wenyeweji wa marais 37 kwa mpigo, leo huyu, kesho sijui ataibuka nani, yaani kwa mwendo huu itabidi tuanze kuwazuia.

Hiii mijamaaa iko penda sana misifa na kupraise their local country
 
ukisema local country unamaanisha?

and which other country does a patriot praise if not his country?

I am proud of my country come rain come sunshine, and I will never be ashamed of that fact. and judging from conversation with fellow kenyans, every kenyan here will agree with me
 
Sema sema mwanagu!!! Kumbukeni yale maneno ya " NAJIVUNIA KUWA MKENYA" njoo mvua au jua. 🙂🙂🙂

haya cheki hapa.....
 
Back
Top Bottom