Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tuna bidii na hulka hulka za kikenyaHahaha asa wakenya mnamidomo sana kwani ni lazima aje kwetu....alafu uyo anaesema subsaharn Africa ni Kenya na Nigeria wala hajui anachoongea.....mnann Kenya cha kuwazidi south Africa? Mnakitu gani cha kuzidi Angola? Wakenya acheni kuhara
Ni habari mbaya kwa TZ inamaanisha ma IT wetu wana safari ndefu sanaHalafu amepata darasa kuhusu Mpesa maana Kenya ndio chimbuko la yote. Juzi tumekua wenyeweji wa marais 37 kwa mpigo, leo huyu, kesho sijui ataibuka nani, yaani kwa mwendo huu itabidi tuanze kuwazuia.
![]()
Zuckerberg in Lake Naivasha National park tour
Ni Kiswahili, tena mufti.Wakenya kiswahili chao ni cha kwenye Bible.
Inferiority complex tupu. Umeshindwa kuiondoa nchi yako kutoka umaskini ndiposa umeanza kuilaumu rangi ya ngozi yako?Ngozi nyeusi shida sana, anyway huyu jamaa si ndo anapumuliwa [emoji44]
MK254 Huyu demu mgani nimwemuona kila mahali na Zuckerberg?
Baada ya kula Jollofrice Nigeria,sasa anakula Ugali sato Nairobi,Mark ni mtu simple sana kwa kweli
Inferiority complex tupu. Umeshindwa kuiondoa nchi yako kutoka umaskini ndiposa umeanza kuilaumu rangi ya ngozi yako?[
OK Sawa
Eish! Budda, kwenye minzani ya technolojia, Angola apana karibia tako la Kenya, hio hapo ndio ishu.Hahaha asa wakenya mnamidomo sana kwani ni lazima aje kwetu....alafu uyo anaesema subsaharn Africa ni Kenya na Nigeria wala hajui anachoongea.....mnann Kenya cha kuwazidi south Africa? Mnakitu gani cha kuzidi Angola? Wakenya acheni kuhara
Halafu amepata darasa kuhusu Mpesa maana Kenya ndio chimbuko la yote. Juzi tumekua wenyeweji wa marais 37 kwa mpigo, leo huyu, kesho sijui ataibuka nani, yaani kwa mwendo huu itabidi tuanze kuwazuia.
ukisema local country unamaanisha?Hiii mijamaaa iko penda sana misifa na kupraise their local country
ukisema local country unamaanisha?
and which other country does a patriot praise if not his country?
I am proud of my country come rain come sunshine, and I will never be ashamed of that fact. and judging from conversation with fellow kenyans, every kenyan here will agree with me
Kwa Yule msomi aliye kumbana na mashairi chuoni na kuelewa maana ya ufupisho wa maneno hawezi uliza baadhi ya maswali najinea Hapa.Wakenya kiswahili chao ni cha kwenye Bible.
Kwa Yule msomi aliye kumbana na mashairi chuoni na kuelewa maana ya ufupisho wa maneno hawezi uliza baadhi ya maswali najionea Hapa.Wakenya kiswahili chao ni cha kwenye Bible.
Wakenya kiswahili chao ni cha kwenye Bible.